Kenya na India Zaipiku Tanzania Kwa Mauzo ya Tanzanite

Kenya na India Zaipiku Tanzania Kwa Mauzo ya Tanzanite

HAKUNA..!!, nishasema rudisheni pesa zetu za ESCROW!!! DAMU ITAMWAGIKA!!
 
..kwa jinsi ulivyoelezea ni kama vile hatuna ujanja na tukubaliane na hali halisi....hii haikubaliki...kumbuka we monopolize this resource...
kuelewa hii biashara nikazi sana mpaka uwe ndani yake wiki hii tuna show ya mawe Arusha naiyo show ni ya kidunia wana kuja watu from all over the world ni wanunuzi wa mawe na usifikiri hapo inauzwa tanzanite tu panauzwa tourmaline ,ruby na mawe mengineyo tu kutoka sehemu tofauti hapa duniani na watu wa mataifa mbali mbali wana kuja kuuza na kununua sasa mwenye mtaji mkubwa hapo ndio ananunua zaidi then akienda huko nje yeye ndio anaonekana sio wewe wao wanaenda kumuuzia the top top buyer ambae anamjua Beyoncé Rihanna na wengineo wewe iyo njia huwezi kuikatiza hata ufanyeje. Na sio kwamba hiyo show hufanyika Tanzania tu mwaka huu mwezi wa 9 tulikua hongkong na Thailand na wanakuja matajiri kutoka kote duniani na wauzaji kutoka kote duniani from Brazil to Nepal wote hao wanaleta mawe ya colour stone
 
kuelewa hii biashara nikazi sana mpaka uwe ndani yake wiki hii tuna show ya mawe Arusha naiyo show ni ya kidunia wana kuja watu from all over the world ni wanunuzi wa mawe
...viongozi wako waliokiri udhaifu uliopo hawaijui biashara hii??

...na usifikiri hapo inauzwa tanzanite tu panauzwa tourmaline ,ruby na mawe mengineyo tu kutoka sehemu tofauti hapa dunianie
...mkuu hapa yameongelewa mapato ya Tanzanite kwa nchi yetu,kenya na India..sijui yana uhusiano gani na hayo madini mengine uliyotaja..?

...na watu wa mataifa mbali mbali wana kuja kuuza na kununua sasa mwenye mtaji mkubwa hapo ndio ananunua zaidi then akienda huko nje yeye ndio anaonekana sio wewe wao wanaenda kumuuzia the top top buyer ambae anamjua Beyoncé Rihanna na wengineo wewe iyo njia huwezi kuikatiza hata ufanyeje. Na sio kwamba hiyo show hufanyika Tanzania tu mwaka huu mwezi wa 9 tulikua hongkong na Thailand na wanakuja matajiri kutoka kote duniani na wauzaji kutoka kote duniani from Brazil to Nepal wote hao wanaleta mawe ya colour stone

...hapa hujatoa hoja ya nguvu kujustify kitu tunachomiliki sisi tu tushindwe kuwazidi wakenya na india au hata kuwakaribia katika mapato yatokanayo na madini hayo...bado nasisitiza..madini haya yanaweza kutupatia pato zaidi ya tunalopata sasa kwa kuwakaribia/kuwazidi hawa wakenya na india ambao wote pasi na shaka wanayatoa Tanzania.mifumo iliyopo ndio inakufanya uamini kamwe hatuwezi kuwafikia watu hao hata iweje.Haingii akilini kitu ulichonacho peke yako ukashindwa kufaidika nacho ipasavyo,,,,kwenye red hapo ni dalili ya kukata tamaa na kuona ..no way out
 
Nchi yangu Tanzania!!!!!! shamba la bibi,,hii nchi hii ni bora usiijue kiundani utaishi kwa amani maana ukiijua sana waweza kuugua magonjwa ya kudumu,

Daa..!mkuu we acha tu,hii nchi inaumia sana.yani kuna watu wana akili ndogo lakini wanataka uongozi.haya ndio matokeo,tunataka watu creative.
 
Usianze kulaumu bila ktafakari.tatizo la tanzania kuwa na wanasiasa wababaishaji.nasema hili watoroshaji wakubwa wa madini yetu sio tanzanite pekee hata dhahabu ruby nk ni wachimbaji wadogowadogo ambao kwa bahati mbaya wanatetewa sana na wanasiasa.ili hali inajulikana udhibiti wao ni mgumu sana.katika kujua mapatao yao na control ya mauzo ikiwa pamoja na ulipaji kodi.

sasa si ndio maana tunasema kila siku,,, hatuna uongozi katika nchi hii,,,, kama wachimbaji wadogo wadogo wanaweza kusafilisha madini kiholela sasa hapa nani wa kulaumiwa... kama mamlaka husika hazifanyi kazi kikamilifu na zina uzembe uliopitiliza unategemea nini katika hili..... kwa hiyo unataka tumlaumu mwizi na kumuomba aache wizi hii haipo popote pale chini ya jua,,, lililopo ni vyombo husika kufanya kazi kikamilifu, kizalendo na kuwepo na sheria ngumu na zifuatwe halafu uone kama huu ujinga utatokea!!!
 
kama think tanks wa nchi hii ndio wale pale bungeni,,,, eti viti VITI MAALUMU halafu utakuta mabinti wazuri!!!! wengine ndio kwanza wametoka shule juzi,, SERIKALI inayowekeza kwenye sanaa,,, bunge limejaa wanaume waimba taarabu, wafuata mkumbo wasioweza kujisimamia,,,TANZANIAAA DAH inachosha sasa jamani si mbadilike jamani....

KUNA HAJA YA UKOLONI URUDI,,, WAZUNGU WAJE WAONGOZE KILA MAHALI TENA KWA MIJELEDI KAMA ZAMANI NA SISI WOTE WEUSI TUWE WAFANYA KAZI...
JAMANI WAZUNGU RUDINI TENA MTUTAWALE TUMESHINDWA KUJITAWALAAA,, HUU NI UKWELI,,
 
Daa..!mkuu we acha tu,hii nchi inaumia sana.yani kuna watu wana akili ndogo lakini wanataka uongozi.haya ndio matokeo,tunataka watu creative.

Mkuu kupata watu creative ni kwa neema kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ya sasa,,, wee ona shule za sekondari ni za kata kwa maana ya kwamba unasoma shule ya msingi hapo, unaenda sekondari hapo ni mpaka A level, na tunakoelekea sasa hata vyuo vikuu vitakuwa vya kata pamoja na GPA zitakazopatikana. Unaanza mpaka unamaliza elimu yote hakuna jipya la kutoka nje ya eneo ulilozaliwa hata huo u creativeness ni ngumu, zamani ilikuwa mwanafunzi wa kusini anaenda kask vise versa.
 
Exports of rare Tanzanite last year: India $300M, Kenya $100M, Tanzania $38M. The gemstone is found only in Tanzania.

The way it is!

Membe unasemaje? Na hili kanusha!
 
WAPOMA

Usituumize kichwa. usitupotezee muda. usituchose nasi tusikuchoshe hii thread na za namna hii pelekeni kwenye jukwaa la siasa/hoja na habari mchanganyiko/au zinazofanana na hizi....Entrepreneurship kwa kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
Usituumize kichwa. usitupotezee muda. usituchose nasi tusikuchoshe hii thread na za namna hii pelekeni kwenye jukwaa la siasa/hoja na habari mchanganyiko/au zinazofanana na hizi....Entrepreneurship kwa kwenda mbele.


Ndio akili za waliosoma hesabu biashara kubwa ya tanzanite unaipeleka kwenye siasa!!.Huenda hujaelewa!!.Huruma!!
 
Alivyokuja Kwa Mbwembwe sikutegemea kama atapokelewa hivi....!
 
viongoz wetu wabovu wanasingizia soko huria bila kujua wanatengeneza soko holela,hakuna misingi iliyotengenezwa kulatibu ununuzi na uhuzaji wa madini,kama kungekuwepo na business center ya ununuzi wa wa madini na control ya uuzaji wa madini nje usingekuiona hiyo aibu,na si madini hata wakulima wanazalisha mazao mengi ila hawana sehemu ya kuuza kwa sababu hakuna misingi imara ya serikali.
 
Ndugu zangu; tatizo kubwa ni kuwa Madini ya Tanzanite yanauzwa kwa njia za magendo kwenda Kenya. Na sasa serikali imeunda kikosi kazi kudhibiti hilo. Kinajumuisha Wizara ya Nishati na Madini; TMAA; TRA; Uhamiaji; TISS; na wadau wengine. Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa -STAMICO (www.stamico.co.tz) inamiliki 50% ktk mgodi mkubwa wa Tanzanite. Hivyo tukidhibiti wanunuzi kununua ktk njia za panya TUTAPATA MANUFAA MAKUBWA SANA.
 
Tatizo hapa ni hii Serikali dhalimu ambayo haina vision. Wangewapa mtaji mkubwa STAMICO ili wanunue Tanzanite kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo kwa bei kubwa kuliko ya hao middle men wa kihindi. Hili lingewezesha kabisa kuongeza pato la Taifa kutoka Tanzanet kwa kiasi kikubwa sana na hivyo kuzipita nchi za India na Kenya kwa mbali sana. Hii ni aibu kubwa sana na kama sikosei Kenya si ya pili bali ni USA, Kenya ni ya tatu. Kulikuwepo hapa uzi miaka ya nyumba ambao kama sikosei ulionyesha pato la US linalotokana na Tanzanite ni la pili kwa ukubwa duniani baada ya India labda miaka ya karibuni hali imebadilika au hawakuweza kuzipata namba za US.

India iliuza tanzanite zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 300 milioni (Sh509 bilioni)
Kenya ilisafirisha na kuuza nje ya nchi tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Dola 100 milioni za Marekani (Sh173 bilioni)
Tanzania iliuza Dola 38 milioni (Sh45.5 bilioni) zilizouzwa na Tanzania.



Kweli mkuu STAMICO wangejengewa uwezo wa kununua na kuwatengea bajeti kubwa ya kununua Tanzanite kutoka kwa wachimbaji wadogo lakini hilo haliwezekani kwa hawa viongozi waliokosa vision, inasikitisha madini yanayopatikana kwetu nchi zingine zinufaike zaidi yetu...! Nchi kama imelaaniwa vile
 
Ndugu zangu; tatizo kubwa ni kuwa Madini ya Tanzanite yanauzwa kwa njia za magendo kwenda Kenya. Na sasa serikali imeunda kikosi kazi kudhibiti hilo. Kinajumuisha Wizara ya Nishati na Madini; TMAA; TRA; Uhamiaji; TISS; na wadau wengine. Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa -STAMICO (www.stamico.co.tz) inamiliki 50% ktk mgodi mkubwa wa Tanzanite. Hivyo tukidhibiti wanunuzi kununua ktk njia za panya TUTAPATA MANUFAA MAKUBWA SANA.

Tanzaniteone wameshauza hisa zao zote 50, wamemuuzia sky group. Ni ya Mhindi na wabongo 2, huu uuzwaji unase mekana ni waki nyemela. Stamico wakiulizwa wanasema hawafahamu! !!!!
 
Hivi Serikali ipo wapi? ndiyo maana Kagame anamdharau jamaa ? ushauri aliyowahi kuutoa mama kilango hadi leo haujawahi kutekelezwa, sijui jamani,

Ni kweli alimwambia akimpa bandari ya Dar es Salaam tu anailisha nchi (TZ) yake yote. Inaonekana ni dharau lakini ndo ukweli wenyewe huo. Hapo bandari ni madili ya wakubwa kila mahali na taifa linaambulia kiduchu na yeye anajua anaangalia tu, mbaya sana hii.
 
Back
Top Bottom