Kenya na Israel na ujasusi wa kiuchumi

Kenya na Israel na ujasusi wa kiuchumi

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kwa taifa ambalo ni imara,Usalama wa Taifa ni taasisi inayotakiwa kufanya kazi kwa weledi. Lakini ukifatilia weledi wa NIS kwa muda mlefu wamekuwa wakifanya intelejensia ya kijasusi Africa Mashariki kwa muda mlefu.
Intelejensia ya kijasusi Kenya wamekuwa wakifundishwa na Israel lakini mkazo ukiwa umetiliwa kumaliza uchumi wa Tanzania. Toka Nyerere alipokata mausiano na Israel waliweza kuitumia Kenya kupolomosha uchumi wa Tanzania.
Waliweza kufanikisha mkakati wao kwakutumia IMF na World Bank. Kipindi chanyuma viwanda vingi vya Tanzania vilikuma chini ya serikali. Monetary insititutes ziliweza kuiamlisha serikali ya Tanzania iachane nampango wakumiliki viwanda
Tanzania iliambiwa kama wakibinafusisha viwanda wangeweza kuifanya serikali ipate mapato mengizaidi nakupunguza spending ya serikali. Jambo hilo lilikubaliwa na Mkapa lakini matokeo yake nikwamba tulikuwa tumepotea njia.
Moja kati ya mambo ambayo Mkapa alikili kipindi cha utawala wake ulifanya makosa nikubinafusisha viwanda.
Mkapa hakujua kuwa huu ulikuwa ni mpango wa Kenya na Israeli kupolomosha uchumi wa Tanzania.
Viwanda vingi vikubwa (strategic industries ) viliweza kuchukuliwa na Kenya. Hivi vilikuwa nivile viwanda vinavyo zalisha maligafi zinazotokana na kilimo.
Kwamfano kiwanda cha maziwa cha Arusha kilichokuwa kikubwa East Africa kilichukuliwa na Bidco ya Kenya. Walichofanya walitoa mashine za kiwanda wakazipeleka Kenya nakuanza kutuletea packaged milk kutoka Kenya. Pia kiwanda cha Mara Musoma kiliuliwa na intelegensia ya wakenya.
Kwa sasa Magufuli ameanza ushilikiano na Israel. Wamekubali watashilikiana na kwenye nyanda za usalama. Kwa sasa Israel imegundua huwezi kuitenga Tanzania ndani ya Africa kiuchumi. Pamoja na fitina zote Tanzania imekuwa ikiendelea kiuchumi.
Magufuli ameweza kuuwa soko la Tanzanite nchini Kenya nakukataa damping ya bidhaa za Kenya nchini Tanzania. Haiwezikani watuletee maziwa sisi alafu ya kwetu wakatae yasiende kwao.
Walikuwa wamesha ujumu kiwanda cha Tanga Fresh pia wakishilikiana na watendaji serikalini.
Je Israeli itaifundisha Tanzania intelejensia ya kiuchumi ?? Usaliti nikitu kibaya sana.
 
Adui wa Tanzania kiuchumi sio Kenya, bali ni usingizi wenu wa kuvuta blanketi. Yaani mpo mpo tu, baada ya ujamaa sasa matumaini yenu yote yapo kwenye kizazi cha Chato. Mtu mmoja. Wengine wenu ndio sasa mmeanza kukoroma kweli kweli.
 
Nimeshindwa kusoma hadi mwisho maana dah sio kwa Kiswahili hicho, unawapa tabu sana Wanajf.
Nikirudi kwenye hoja, hehehe Israel nchi ya mbali ya Kiyahudi ihangaike kuhujumu taifa maskini kama Tanzania ili iweje, mnapenda kujikweza sana.
 
Kinaitagwa kiswahili cha kunasa samaki nchanga. 😀😀 Eti wayahudi wanaihujumu Palestina ya Afrika. Jamani, mbavu zangu! 😀
 
Adui wa Tanzania kiuchumi sio Kenya, bali ni usingizi wenu wa kuvuta blanketi. Yaani mpo mpo tu, baada ya ujamaa sasa matumaini yenu yote yapo kwenye kizazi cha Chato. Mtu mmoja. Wengine wenu ndio sasa mmeanza kukoroma kweli kweli.
Subiri uone moto wake, Kenya has been our enemy for centuries.. It's a payback time. Tunaunda Anti Kenya..
 
Adui wa Tanzania kiuchumi sio Kenya, bali ni usingizi wenu wa kuvuta blanketi. Yaani mpo mpo tu, baada ya ujamaa sasa matumaini yenu yote yapo kwenye kizazi cha Chato. Mtu mmoja. Wengine wenu ndio sasa mmeanza kukoroma kweli kweli.
Kwanza kwa taarifa yako ujamaa watanzania ulikuwa kipindi cha Nyerere. Mwinyi sera nyingi za ujamaa aliziweka pembeni. Lakini unapotaka kukuza taifa masikini ujamaa ndio sera inayofaa. Ndani ya capitalism ni vigumu sana kuwa na balance yakimaendeleo. Ujamaa mimi naukubali sana. Nakama usingekuwa kuuliwa kabisa na Mwinyi tungekuwa mbali sana. Leo nchi kama China na Russia zinaimalika kiuchumi kwa sababu ya ujamaa. Ujamaa china umesababisha kuwa na vijiji tajili duniani.

Richest village in China iliyotokana na ujamaa
 
Since when did BIDCO invest in Milk processing??? Porojo za vijiweni
 
Amini usiamini wakenya hata hawajui kuhusu uadui huo. Wakenya wapo busy na nchi yao. Mambo yakienda vibaya huwa tunaangaliani sisi wenyewe kwa wenyewe.
Asie wajua nyie nnani?? Kutwa kucha kupakazia nchi yetu uchafuu.. Mnaiongelea Tz vibaya mpaka basi.. Ngoja sasa na sisi tuchukue hatua..
 
Asie wajua nyie nnani?? Kutwa kucha kupakazia nchi yetu uchafuu.. Mnaiongelea Tz vibaya mpaka basi.. Ngoja sasa na sisi tuchukue hatua..
Mnangoja nini. Hatua si muichukue. Nilishawatambuaga nyinyi wafuasi wa chama cha mafisi. Huwa mnawaangusha sana wenzenu. Mazero brain wa kutupwa.
 
Amini usiamini wakenya hata hawajui kuhusu uadui huo. Wakenya wapo busy na nchi yao. Wewe endelea kununa tu.
Wakati media zenu ndo zinazoongoza kuiongelea vibaya Tanzania na bado ule unyama turowafanyia wafugaji wenu unafatwa kwa wale wanaishi tz kinyemela hapa mtaani wapo wawili suburini taarifa ya watu kufukuzwa bira kuvaa hata ndala
 
leteni tena vifaranga muone.
Vifaranga mnavifata wenyewe. Vipo vingi Kenya unalipa kwanza ndio unavichukua. Mwenzenu mwingine atakamatwa hivi karibuni. Bado vinasafirishwa kuja Tz kila siku.
 
Adui wa Tanzania kiuchumi sio Kenya, bali ni usingizi wenu wa kuvuta blanketi. Yaani mpo mpo tu, baada ya ujamaa sasa matumaini yenu yote yapo kwenye kizazi cha Chato. Mtu mmoja. Wengine wenu ndio sasa mmeanza kukoroma kweli kweli.
Kuvuta blangeti au kuvuta bangi?
 
Back
Top Bottom