Kenya na njaa haiepukiki

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
kenya njaa mpaka MTU anasepa na ugali in public bila wasi. This is Kenya, developed country😱😱
 
Tumbo haina maringo. Kila mtu lazima akule. Wacha huyo jamaa akule ugali yake kwa raha zake, amebahatika kupata chakula cha bure. Ugali ni uhai
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„. Hii ni hatari kwa afya ya nchi yenu.
 
Njaa ni mbaya sana. Inamfanya mtu asitumie vizuri uwezo wake wa kufikiri. Ona huyu jamaa kabeba ugali begani kama mtoto mdogo au punguani.
 
hahahaha wengine wanachinja binadamu na kumla kwa sababu ya beliefs za kishirikina na kipumbavuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...niliskia mtu atapata utajiri akimchinja albino kama kuku😱😱😱duh! afadhali huyu wa ugali matra mia moja...ebu wakenya tukae na njaa yetu😱😱

kwingine magari yamepiga foleni kilomita 100 kwa daktari wa loliondoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
What you try to through to TANZANIA is something not uncommon in many Afrikan countries. Don't talk as if you are from Europe. These issues has been here since time immemorial. That's why we strongly condemn it.
 
hahahaha kwan nimedanganya au? mnawatesa albino wa Mungu sana... very shameless ppl..wachawi nambari 1 hata mmewashinda wanaijeriaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...heri njaa kuliko fikra kama hizi za kishirikina
 
Huna ushahidi wa hilo. Hamna nchi ambayo si wachawi hususan ni Afrika.
 
Tumbo haina maringo. Kila mtu lazima akule. Wacha huyo jamaa akule ugali yake kwa raha zake, amebahatika kupata chakula cha bure. Ugali ni uhai
Cha kuokota bola angeweka at a kwenye mfuko, begani alafu anaenda kuula kama mbwa koko. Kenya ni wachafu kama jiji lenu la kibera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…