Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya mbona mnashindwa kujiteteaView attachment 827661kenya njaa mpaka MTU anasepa na ugali in public bila wasi. This is Kenya, developed country😱😱
Lower middle heheheView attachment 827661kenya njaa mpaka MTU anasepa na ugali in public bila wasi. This is Kenya, developed country😱😱
🙄🙄🙄. Hii ni hatari kwa afya ya nchi yenu.Tumbo haina maringo. Kila mtu lazima akule. Wacha huyo jamaa akule ugali yake kwa raha zake, amebahatika kupata chakula cha bure. Ugali ni uhai
hahahaha wengine wanachinja binadamu na kumla kwa sababu ya beliefs za kishirikina na kipumbavu😀😀😀...niliskia mtu atapata utajiri akimchinja albino kama kuku😱😱😱duh! afadhali huyu wa ugali matra mia moja...ebu wakenya tukae na njaa yetu😱😱
kwingine magari yamepiga foleni kilomita 100 kwa daktari wa loliondo😀😀😀
hahahaha kwan nimedanganya au? mnawatesa albino wa Mungu sana... very shameless ppl..wachawi nambari 1 hata mmewashinda wanaijeria😀😀😀...heri njaa kuliko fikra kama hizi za kishirikinaWhat you try to through to TANZANIA is something not uncommon in many Afrikan countries. Don't talk as if you are from Europe. These issues has been here since time immemorial. That's why we strongly condemn it.
hahahaha kwan nimedanganya au? mnawatesa albino wa Mungu sana... very shameless ppl..wachawi nambari 1 hata mmewashinda wanaijeria😀😀😀...heri njaa kuliko fikra kama hizi za kishirikina
Cha kuokota bola angeweka at a kwenye mfuko, begani alafu anaenda kuula kama mbwa koko. Kenya ni wachafu kama jiji lenu la kibera.Tumbo haina maringo. Kila mtu lazima akule. Wacha huyo jamaa akule ugali yake kwa raha zake, amebahatika kupata chakula cha bure. Ugali ni uhai