Kenya na Somalia zaanza kuchapatana risasi mpakani

Askari wanaolinda amani hawaruhusiwi kujibu mapigo sawa empty skull
Hatujibu mapigo tu,tulivamia, tunashambulia kucha kutwa kwa ndege,meli na ndege zisizo na rubani kwa raha zetu,pindi tunapoona ni busara na tunaruhusiwa na UN,AU,US,AMISOM hamna wa kuteta na tunawahadaa nyie mazezeta eti tunalinda amani, weye jikite kwenye mada za jeshi lenu ovyoo wapasua matofali kwa bichwa.

kalb wahed.
 
Wapo kulinda amani tu....PEACEKEEPING....you dimwit.
Hahahaha, KDF waliingia Somalia kuwapiga Alshaabab baada ya Alshabaab kuvuka kuichokoza Kenya mara kwa mara, walipofika huko ndio ikaonekana sio vizuri kupigana kivyaovyao wakati kuna majeshi ya Afrika ambayo pia yanapigana na Alshabaab.

Kenya haikuombwa kwenda kulinda Amani kama zilivyoomba Uganda na Burundi, walienda kwa maslahi ya kulinda nchi yao baada ya kuvamiwa mara kwa mara na Alshabaab kama Tanzania tulivyokwenda Uganda baada ya kuvamiwa na Amin.
 
Eti ndege zisizo na rubani, mzitoe wapi wakati hata ndege za kivita mnazo sita pekee tena chakavu na very old model f5, moja ilidunguliwa na Alshabaab na rubani akauliwa
 

Mnaenda lini Msumbiji kuwasalimu ISIS?, naona pole pole mmeshasongezewa ngoma,hili linawahusu ndewe pamoja na sikio , hamna wa kumfanyia kiburi beberu,ngoma inawahusu pia.
Fanyeni hima.
kalb hayawan.
 
Eti ndege zisizo na rubani, mzitoe wapi wakati hata ndege za kivita mnazo sita pekee tena chakavu na very old model f5, moja ilidunguliwa na Alshabaab na rubani akauliwa
Naona kumbe huna ulijualo weye kuhusu vifaa vya KDF,siku nyingine husikurupuke bila ya kufanya utafiti....nenda google mwenyewe,kalb wahed.
 
Mnaenda lini Msimbiji kuwashambulia ISIS?, naona pole pole mmeshasongezewa ngoma,hili linawahusu ndewe pamoja na sikio , hamna wa kumfanyia kiburi beberu,ngoma inawahusu pia.
Fanyeni hima.
kalb hayawan.
Sisi sio kama ninyi mliojipeleka kichwakichwa bila kufanya tathmini ya kutosha, lazima tuhakikishe kwamba mipaka yetu iko sealed hakuna atakayepenya wakati tunawashushia kipigo ndani ya Msumbiji.
 
Mnaenda lini Msimbiji kuwashambulia ISIS?, naona pole pole mmeshasongezewa ngoma,hili linawahusu ndewe pamoja na sikio , hamna wa kumfanyia kiburi beberu,ngoma inawahusu pia.
Fanyeni hima.
kalb hayawan.
Sisi sio kama ninyi mliojipeleka kichwakichwa bila kufanya tathmini ya kutosha, lazima tuhakikishe kwamba mipaka yetu iko sealed hakuna atakayepenya wakati tunawashushia kipigo ndani ya Msumbiji.
 
Shume hili libishi kaaa......haya afueni yako hiyo masalkheir...

kalb hayawan.
 
Naona kumbe hamna ulijualo weye kuhusu vifaa vya KDF,siku nyingine husikurupuke bila ya kufanya utafiti....nenda google mwenyewe,kalb wahed.
Hahahaha, ninalifahamu vizuri Sana jeshi lenu, Jeshi lenu mnanunua vifaa chakavu hamna vifaa vipya, Air Force yenu is the most useless in Africa.
 
kenyaaa...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
yaan kila kitu kenya daah! mpaka mmeamua kuiga ugomvi wa china na india๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
KwahiyoKDF huko Somalia hawapo vitani?
Kdf wanapigana na nchi ya Somalia au Al shabab? Kwa hivyo kulingana na wewe Kdf inapigana na serikali ya Somalia? Wakati jeshi lenu lilienda Drc kupigana na wanamgambo, Jwtz lilikuwa linapigana na serikali ya Drc? Kwa hivyo kulingana na wewe nchi ya Tanzania ilikuwa inapigana na nchi ya Drc?
 
Somalia na Ethiopia walilimana vita kali sana miaka kadhaa iliyopita. Kenya ndio nchi pekee Afrika Mashariki ambayo haijawahi kupigana na nchi nyingine tangu tupate uhuru
nyie mnauwezo wa kupigana vita vya kikabila bt hamna uwezo wa kupigana na nchi nyingine ndo maana mpo waoga, mfano mzuri ni vi-alshababu jinsi vilivyokua vinaingia kenya na kufanya walitakalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ