Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Nani amewazuia au kuwakataza msijitangazie vyenu?Kifupi Tanzania wana vifaa vya maana sana kuliko nyie sema huwa hawatangazi kama nyie ambao huwa mnao sifa kujitangaza.
kalb hayawan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amewazuia au kuwakataza msijitangazie vyenu?Kifupi Tanzania wana vifaa vya maana sana kuliko nyie sema huwa hawatangazi kama nyie ambao huwa mnao sifa kujitangaza.
Wapo kulinda amani tu....PEACEKEEPING....you dimwit.KwahiyoKDF huko Somalia hawapo vitani?
Wapo kulinda amani tu....PEACEKEEPING....you dimwit.
Hatujibu mapigo tu,tulivamia, tunashambulia kucha kutwa kwa ndege,meli na ndege zisizo na rubani kwa raha zetu,pindi tunapoona ni busara na tunaruhusiwa na UN,AU,US,AMISOM hamna wa kuteta na tunawahadaa nyie mazezeta eti tunalinda amani, weye jikite kwenye mada za jeshi lenu ovyoo wapasua matofali kwa bichwa.Askari wanaolinda amani hawaruhusiwi kujibu mapigo sawa empty skull
Hahahaha, KDF waliingia Somalia kuwapiga Alshaabab baada ya Alshabaab kuvuka kuichokoza Kenya mara kwa mara, walipofika huko ndio ikaonekana sio vizuri kupigana kivyaovyao wakati kuna majeshi ya Afrika ambayo pia yanapigana na Alshabaab.Wapo kulinda amani tu....PEACEKEEPING....you dimwit.
Eti ndege zisizo na rubani, mzitoe wapi wakati hata ndege za kivita mnazo sita pekee tena chakavu na very old model f5, moja ilidunguliwa na Alshabaab na rubani akauliwaHatujibu mapigo tu,tulivamia, tunashambulia kucha kutwa kwa ndege,meli na ndege zisizo na rubani kwa raha zetu,pindi tunapoona ni busara na tunaruhusiwa na UN,AU,US,AMISOM hamna wa kuteta na tunawahadaa nyie mazezeta eti tunalinda amani, weye jikite kwenye mada za jeshi lenu ovyoo wapasua matofali kwa bichwa.
kalb wahed.
Hahahaha, KDF waliingia Somalia kuwapiga Alshaabab baada ya Alshabaab kuvuka kuichokoza Kenya mara kwa mara, walipofika huko ndio ikaonekana sio vizuri kupigana kivyaovyao wakati kuna majeshi ya Afrika ambayo pia yanapigana na Alshabaab.
Kenya haikuombwa kwenda kulinda Amani kama zilivyoomba Uganda na Burundi, walienda kwa maslahi ya kulinda nchi yao baada ya kuvamiwa mara kwa mara na Alshabaab kama Tanzania tulivyokwenda Uganda baada ya kuvamiwa na Amin.
Naona kumbe huna ulijualo weye kuhusu vifaa vya KDF,siku nyingine husikurupuke bila ya kufanya utafiti....nenda google mwenyewe,kalb wahed.Eti ndege zisizo na rubani, mzitoe wapi wakati hata ndege za kivita mnazo sita pekee tena chakavu na very old model f5, moja ilidunguliwa na Alshabaab na rubani akauliwa
Sisi sio kama ninyi mliojipeleka kichwakichwa bila kufanya tathmini ya kutosha, lazima tuhakikishe kwamba mipaka yetu iko sealed hakuna atakayepenya wakati tunawashushia kipigo ndani ya Msumbiji.Mnaenda lini Msimbiji kuwashambulia ISIS?, naona pole pole mmeshasongezewa ngoma,hili linawahusu ndewe pamoja na sikio , hamna wa kumfanyia kiburi beberu,ngoma inawahusu pia.
Fanyeni hima.
kalb hayawan.
Sisi sio kama ninyi mliojipeleka kichwakichwa bila kufanya tathmini ya kutosha, lazima tuhakikishe kwamba mipaka yetu iko sealed hakuna atakayepenya wakati tunawashushia kipigo ndani ya Msumbiji.Mnaenda lini Msimbiji kuwashambulia ISIS?, naona pole pole mmeshasongezewa ngoma,hili linawahusu ndewe pamoja na sikio , hamna wa kumfanyia kiburi beberu,ngoma inawahusu pia.
Fanyeni hima.
kalb hayawan.
Hahahaha, ninalifahamu vizuri Sana jeshi lenu, Jeshi lenu mnanunua vifaa chakavu hamna vifaa vipya, Air Force yenu is the most useless in Africa.Naona kumbe hamna ulijualo weye kuhusu vifaa vya KDF,siku nyingine husikurupuke bila ya kufanya utafiti....nenda google mwenyewe,kalb wahed.
Kdf wanapigana na nchi ya Somalia au Al shabab? Kwa hivyo kulingana na wewe Kdf inapigana na serikali ya Somalia? Wakati jeshi lenu lilienda Drc kupigana na wanamgambo, Jwtz lilikuwa linapigana na serikali ya Drc? Kwa hivyo kulingana na wewe nchi ya Tanzania ilikuwa inapigana na nchi ya Drc?KwahiyoKDF huko Somalia hawapo vitani?
nyie mnauwezo wa kupigana vita vya kikabila bt hamna uwezo wa kupigana na nchi nyingine ndo maana mpo waoga, mfano mzuri ni vi-alshababu jinsi vilivyokua vinaingia kenya na kufanya walitakaloSomalia na Ethiopia walilimana vita kali sana miaka kadhaa iliyopita. Kenya ndio nchi pekee Afrika Mashariki ambayo haijawahi kupigana na nchi nyingine tangu tupate uhuru