Kenya na Somalia zaingia kwenye mgogoro, Kenya yamfukuza balozi wa Somalia.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kenya imemrejesha nchini Balozi wake aliyekuwa Somalia na kumwamuru Balozi wa Somalia nchini humo kuondoka mara moja, baada ya nchi hiyo (Somalia) kupiga mnada vitalu vya utafutaji mafuta na gesi katika eneo la bahari linalogombewa na mataifa hayo. Mnada ulifanyika Februari 7 jijini London.
 
Hilo halitoshi aondowe na wanajeshi wake wakulinda amani somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya imemrejesha nchini Balozi wake aliyekuwa Somalia na kumwamuru Balozi wa Somalia nchini humo kuondoka mara moja, baada ya nchi hiyo (Somalia) kupiga mnada vitalu vya utafutaji mafuta na gesi katika eneo la bahari linalogombewa na mataifa hayo. Mnada ulifanyika Februari 7 jijini London.
waondoe majeshi yao somalia
 
Somalia hao hao waliwaruhusu China kufanya shuguri za uvuvi kwenye bahari kuu ya Somalia; waafrika vichwa vyetu sio vya kufugia nywele tu bali na kwaajili ya kufikiria na nywele ni pambo tu kichwani
 
Waichape Serikali na alishababu ili kumaliza mziizi wa fitina, mimi najitolea kuja kupigana upande wa majeshi ya kenya mpaka tuitoe Serikali ya somalia na alishababu
Kenya hawawezi gholira warfare na alshababu mkwepa kodi utakufa bure siku ya kwanza ya vita, Kenya wanaweza direct combatant kwa sababu wana vifaru vya kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somalia hao hao waliwaruhusu China kufanya shuguri za uvuvi kwenye bahari kuu ya Somalia; waafrika vichwa vyetu sio vya kufugia nywele tu bali na kwaajili ya kufikiria na nywele ni pambo tu kichwani
Na kubebea vikapu. Tukiona wazungu tunachanganyikiwa. Tunauza uhuru wetu na kila kitu kama mfalme Mangungu wa Kilosa
 
Halafu mnatuaminisha kua majeshi ya Kenya yapo Somalia kulinda amani,
Kumbe amani inayolindwa ni ya vitalu vya mafuta na gesi pamoja biashara ya makaa ya mawe.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom