Hilo halitoshi aondowe na wanajeshi wake wakulinda amani somaliaKenya imemrejesha nchini Balozi wake aliyekuwa Somalia na kumwamuru Balozi wa Somalia nchini humo kuondoka mara moja, baada ya nchi hiyo (Somalia) kupiga mnada vitalu vya utafutaji mafuta na gesi katika eneo la bahari linalogombewa na mataifa hayo. Mnada ulifanyika Februari 7 jijini London.
waondoe majeshi yao somaliaKenya imemrejesha nchini Balozi wake aliyekuwa Somalia na kumwamuru Balozi wa Somalia nchini humo kuondoka mara moja, baada ya nchi hiyo (Somalia) kupiga mnada vitalu vya utafutaji mafuta na gesi katika eneo la bahari linalogombewa na mataifa hayo. Mnada ulifanyika Februari 7 jijini London.
Kenya hawawezi gholira warfare na alshababu mkwepa kodi utakufa bure siku ya kwanza ya vita, Kenya wanaweza direct combatant kwa sababu wana vifaru vya kisasaWaichape Serikali na alishababu ili kumaliza mziizi wa fitina, mimi najitolea kuja kupigana upande wa majeshi ya kenya mpaka tuitoe Serikali ya somalia na alishababu
Na kubebea vikapu. Tukiona wazungu tunachanganyikiwa. Tunauza uhuru wetu na kila kitu kama mfalme Mangungu wa KilosaSomalia hao hao waliwaruhusu China kufanya shuguri za uvuvi kwenye bahari kuu ya Somalia; waafrika vichwa vyetu sio vya kufugia nywele tu bali na kwaajili ya kufikiria na nywele ni pambo tu kichwani