Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kuanzia sasa madereva wa Tanzania na Kenya kila mmoja atapimwa nchini kwake na kupewa cheti kisha atavuka mpaka bila bughudha yoyote.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Kamwelwe.

Source: ITV habari!
Siku 30 za kenya hazijafika mbona?
 
Sisi hatuna kipimo,labda kama waganga wa jadi au wachungaji wa maombi wanaweza kutuandikia vyeti!
Mipaka imefungiliwa, kwa kifupi kenya walidhani wametufungia nje kumbe sie ndio tumewafungia wao ndani.
 
Sio kenya tu ,ni africa mashariki yote ni marufuku kutaja taja tanzania

Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.

Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
 
Nyie mmekalia kupima huku hata suruhu hamna!
Mnawatesa watu wenu na hiyo lockdown isiyoeleweka ati inaanza saa kumi na moja jioni..😂😅

Sasa si muwaachie tu watu waishi kwa kuzingatia maelezo ya kitaalum kulika kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!.
Huku kwetu walau hata tuna wataalum wameeshagundua dawa sasa badala hata mjitutumue muombe bado mnajitia ukaidi!.. unafikiri viongozi wote hao Tanzania wangekubali familia zao zitoke hovyo wakati wanajua kuna shida?

Vitu vyengine muwe mnatumia akili kufikiri ili muweze kujua sio mpaka mpigwe mboko kama mlivyokuwa mkifanywa huko kwenu..

Na sikunyengine msiige kunya kwa tembo jirani zetu..😜
 
Tulikwambia dogo kila mtu atapimwa kwake
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakati jumapili pande zile watu wanruka debe mazee. Tuombeni Mungu atuepushe na hiki kirusi
 
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Nilikuambia kila mtu atapimwa kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maisha Huku kwetu yamerejea kama kawaida, leo mishemishe kwangu kariakoo biashar nzur kiasi ila watu wameongezeka sana.

Nahisi Tamko la mkuu wa mkoa limeeleweka sana
 
[QUOTE="MOTOCHINI,
Eti chamuhimu kupimwa!

Hahaha Kama mgekuwa wanaume mgendelea na msimamo wenu. Sie hatukuwa na shida na nyie kamwe
Mlivyo lianzisha tu kwamba Mmefunga mpaka na mnaruhusu Maroli Na mkaanza choko choko oh! mnapima Watanzani tu ndio Postive.

Mlipoishia Wanaume ndio tukaanzia hapo. Hakuna cha kupima wala nini. Gari lolote tokea Kenya no Tz

Sasa mlicho kuwa mnakiogopa nini. Yaani Dereva anatoka Bongo kapimwa Au hajapimwa
Kikubwa cheti tu. Akifika hapo Ni moja kwa moja Mpaka Kibera Anawashushia Nyanya Hakuna kumzuia, Anageuza huo muda wa siku 14.

Kibera mtanzania anao!! Kisha rudi. Tunapiga cheti tena. Mambo kweshney
Kiukweli zile data zilikua zinawauma mpka viongozi wenu wakacharukwa, sasa watapewa wao ndio wapate kuwatawala kifikra watu km wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.

Naona umeamua kubadirisha sera sasa
 
Hili janga ni hatari sana.

huwezi kulizuia kwa kuficha taarifa za waliobainika na ugonjwa baada ya vipimo.

Jambo la muhimu ni kila mtu kujikinga mwenyewe na si kutegemea matangazo ya yanayotolewa kwani bado hali si shwari kabisa.
 
Matokeo 3-0 tulikwambia dogo ngoja wakae mezani Kama mutawapima madereva wa Tz kila mtu atapimwa kwake na sababu ya TANZANIA [emoji1241] kusema cheti kinaisha mda siku 14 lengo kuwalinda raia wake tunajua kabisa hamna dereva atakae kaa huko Kenya kwa wiki 2 ili apimwe hii ndio TANZANIA Kama mulikua hamuijui nguvu yake nazani munaanza kuonja jito la jiwe
Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya. Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe. Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe.
Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2

Hivi mbona regional/district commissioner huko kwenu wanavaa sare za kipolisi kama kipindi cha kikoloni?

BTW huyu Macharia hajui Kiswahili ama ufala?
 
Back
Top Bottom