barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Siku 30 za kenya hazijafika mbona?Kuanzia sasa madereva wa Tanzania na Kenya kila mmoja atapimwa nchini kwake na kupewa cheti kisha atavuka mpaka bila bughudha yoyote.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Kamwelwe.
Source: ITV habari!
Mipaka imefungiliwa, kwa kifupi kenya walidhani wametufungia nje kumbe sie ndio tumewafungia wao ndani.Sisi hatuna kipimo,labda kama waganga wa jadi au wachungaji wa maombi wanaweza kutuandikia vyeti!
Mziki mnene mkuu, labda Tz ndio wapange wao siku na kitu wanachohitaji.Siku 30 za kenya hazijafika mbona?
Sio kenya tu ,ni africa mashariki yote ni marufuku kutaja taja tanzania
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Vinyang'au vitakuja kubweka hapa.mziki mnene mkuu, labda Tz ndio wapange wao siku na kitu wanachohitaji,
Nilikuambia kila mtu atapimwa kwakeCha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Cha msingi madereva wenu wanapimwa na kila anayepatikana na kirusi anageuzwa, hayo mengine hayana umuhimu kwetu, tunawapima tukiwa ndani ya kwenu huko, akipatikana na kirusi anapokezwa kwa mamlaka husika, basi. Sasa zaidi ya hapo hamna kingine tulichokihitaji.
Raia ni wenu, kirusi ni chenu, nchi ni yenu ilmradi vyote vinabaki huko huko mtajuana wenyewe.
Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya. Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe. Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe.
Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2
Hivi mbona regional/district commissioner huko kwenu wanavaa sare za kipolisi kama kipindi cha kikoloni?Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya. Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe. Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe.
Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2
Na chakula hahaha!Good news , everyone wins, unapimwa kama uko negative unachapa kazi, vice versa u go back home, sasa atleast mkulima wa tz atapata hela na sisi vitunguu na nyanya
Sent using Jamii Forums mobile app