Tunazungumzia misingi ya siasa za nchi, sio utawala wa mtu au kipindi cha utawala mmoja. Kenya msingi wao wa siasa ni ukabila, haijalishi nani atakayekuwa rais.
Kuhusu Tanzania, acha kulazimisha mambo kwasababu umekosa points. Ukiacha tatizo la kuminya Uhuru wa kujieleza, Magufuli hana upendeleo wa aina yoyote, tena bora hata Kikwete alikua na ujamaa na kuwalinda marafiki zake, Magufuli sio mkabila, dini wa ukanda, yeye anachojali ni Kazi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakariri tu, huna jipya. Kwani siasa huwa ni kwa nafasi ya urais pekee yake? Tz mnaingiza uchama hadi kwenye miradi ya serikali. Mnaona sifa kusema kwamba wapinzani sio wazalendo au sio watz. Ona mbunge wenu Zitto Kabwe alivyolialia kwamba Raila Odinga, akiwa upinzani, alitumiwa na rais Uhuru Kenyatta kumshawishi 'swahiba' yake Jiwe kuachana na mradi wa bandari ya Bagamoyo ili bandari ya Lamu ifaidi. Hivi kuna uzalendo zaidi ya hiyo? Nyie endeleeni tu na huo ushamba wenu wa kujiona kwamba nyinyi ndio wazalendo wa kweli. Jamii Forums mobile appKatika siasa wakenya kaeni kimya kabisa, Kenya hakuna siasa yoyote ni ukabila mtupu, (No political ideology, what exists in Kenya is tribe pilitics), Kikuyu, Kalenjin na Jaluo, kama haupo ktk kabila hizo, sahau kuwa rais wa Kenya.
Unakariri tu, huna jipya. Kwani siasa huwa ni kwa nafasi ya urais pekee yake? Tz mnaingiza uchama hadi kwenye miradi ya serikali. Mnaona sifa kusema kwamba wapinzani sio wazalendo au sio watz. Ona mbunge wenu Zitto Kabwe alivyolialia kwamba Raila Odinga, akiwa upinzani, alitumiwa na rais Uhuru Kenyatta kumshawishi 'swahiba' yake Jiwe kuachana na mradi wa bandari ya Bagamoyo ili bandari ya Lamu ifaidi. Hivi kuna uzalendo zaidi ya hiyo? Nyie endeleeni tu na huo ushamba wenu wa kujiona kwamba nyinyi ndio wazalendo wa kweli. Jamii Forums mobile app
Dah, watz huwa wana ubaguzi mkali sana wa kisiasa. Nadhani ni madhara ya kutawalwa na chama kimoja kwa muda mrefu Wakenya wanaelewa kwamba leo unaweza ukawa kwenye upinzani kesho uunge mkono chama tawala. Kwa mfano waliomsupport rais Uhuru mara ya kwanza alipowania urais 2002 na akashindwa na Mwai Kibaki walibaki kwenye upinzani. Kisha uchaguzi uliofata 2007 chama chao na U.K. wakamsupport Mwai Kibaki dhidi ya Raila Odinga. Yaani kuwa kwenye upinzani huwa haichukuliwi kama kukosa uzalendo. Infact wengi wa wanaounga mkono chama tawala huwa wanaheshimu na wanaelewa jukumu ambalo huwa linatimizwa na upinzani. Mfano mzuri ni Raila Odinga ambaye ushawishi na appeal yake huwa ni zaidi ya uungwaji mkono wake kisiasa.
Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili..
Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo hautoi suluhisho la matatizo yetu ni upumbavu
Tanzania iko na matatizo yake ambayo watanzania wenyewe ndio wenye uwezo wa kuyatatua vivyo hivyo pia kenya
Ni wakati wakufungua macho na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokumba nchi zetu si ushindani wakijinga usio na faida yoyote
HAPPY 2020
Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili..
Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo hautoi suluhisho la matatizo yetu ni upumbavu
Tanzania iko na matatizo yake ambayo watanzania wenyewe ndio wenye uwezo wa kuyatatua vivyo hivyo pia kenya
Ni wakati wakufungua macho na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokumba nchi zetu si ushindani wakijinga usio na faida yoyote
HAPPY 2020
Endelea na ukabila wako na kujiliwaza, chama cha KANU bado kipo hadi sasa hivi, kinaongozwa na Nick Salat. Kina wabunge na maseneta, mmoja wao akiwa Gideon Moi. Chama cha PNU ambacho ndio kilichukua hatamu baada ya KANU bado kipo na kinaongozwa na Martha Karua. ODM ambayo ilitengeneza serikali ya muungano na PNU bado ipo na ndio wapinzani sasa hivi. Siasa za Kenya huzielewi, komalia kwenye siasa zenu za peni mbili. Kama tungebaki kwenye utawala wa KANU, baada ya miaka 24 ya dikteta Moi hata sisi pia tungechanganyikiwa kama nyinyi. Tupoteze hela nyingi na tuchemshe hata kwenye mambo simple. Kama mlivofanya kwenye mchakato wenu wa kuandika katiba mpya.Kenya has been ruled by only one party since independence, But due to Greed and Kikuyu extravagance it has been switching from one name to another.
Lutemi umewachokoza aiseeAcha kulinganisha upuuzi wa Kenya na Tanzania wewe kenge
Mutu ya congo,Beta makasi.Am Congolese from Mai Ndombe, kanda ya nini juu yenu ba Tanzania na Kenya, Hakuna fasi ile inabamba zaidi ya Kinshasa muye muone wenyewe. Sisi tutaendelea kuwaburudisha na music yetu mukuje kwa show. Don't fight each others guys, you are Just wasting your energy over nothing! After all nyie iko dugu moya.
Am very sorry,unakataa u-kenya wako!!???I am South African, I don't think if there is any competition between Kenya and Tanzania. I see Kenyans minding their own bizniz, not until these lazy lowlifes from the neighbouring country want to drag them in to the gutter.