Malinganisho mazuri ya Kenya na Tanzania ni sawa na Kulinganisha Ujamaa na ubepari.
Ni kwenye Inchi ya Kibepari miji yake mikuu inakuwa imejengwa kisasa sana lakini vijijini kunakuwa hoi sana. Hii ni kwa sababu, ubepari haujali kabisa maendeleo ya mtu moja moja kama siasa za kijamaa zinavyofanya.
Sasa hivi Inchi yetu ina mixed economy yaani kuna ubepari na ujamaa ndani.
Hii inaifanya Tanzania kupata maendeleo ya haraka kwa maskini na Tajiri na Inchi kuwa na kipato cha kutosha kwa kuhakikisha kila mtu anayestahili kulipa kodi analipa.