Kenya Navy Fleet; The Biggest Navy Fleet Along The Eastern Coast Of Africa

Pwahhaa.....Hamuezi Panya road na ni watu wawili utaweza friendly match...Ona kilema!!!Duuh!!
Hehe umeskia panya road ni kazi ya jwtz .....hapo al shabab hao tungewapa ffu tu wangeshatulizwa
 
Hata hiyo ya watu wawili hamuwezani nayo.Acha kukata kona kama Panya road mwenyewe....Bure kabisa
 
Kama walevi wenu wa gongo mungiki wanavyowapa presha na ngoja tusubiri haka kauchaguzi
 
Tihahaa....Inferiority complex....
Tuone nani anaeogopa hapo unajichekesha huku ushaanza kuloa chupi mana unajua mtakachofanywa huku mungiki huku shabab lazma mav yagonge chupi
 
Teheehee...usilie....Tuko na walevi wengi na panya road wengi tu sana.Lakini hata hivo this particular country is miles from your sick backwater staarabu country.Mozambique afadhali...acha hata hiyo Rwanda as small as it is is waaay ahead of that skinny country of Tangachoo
 
Kweli mile away ndo mana mnakuja kujazana humu kulialia maana huko mlipo hakuna anaewasikiliza na kuwatilia maanani nyie wananchi wa kibera mmekuja atleast huku kupata attention
 
Ombeni mechi ya kirafiki na JWtz muone moto wake,ndani ya masaa mawili watakuwa wakivinjari mitaa ya Nairobi
Kitu ya kwanza kenya tuna
More tanks
More missiles
More guns
More everything CJUI mbona nyie wajinga hivi

Kenya spends 2.21bn$ yearly on weapon acquisition
Tanzania spends 367mn$ lakini mtafika Nairobi ndani ya masaa mawili hehehehehe

Kenya navy na Kenya airforce zitakuwa zine fanya Dar na Dodoma Quarry before hata mtoke Nyumbani but its alright!!!!.....

Mnajua vita kweli!!
 
Tz kampiga mganda mwenye vifaa vingi na pia aliepokea msaada toka Libya na bado akachemsha shobokeni tu kama kawaida yenu
 
Hapa kifaa wakati kinashambulia kule Somalia, kina uwezo wa kurusha kombora umbali wa Kilomita 1,000km

8031377262_d473e70ba5.jpg

Kenyan warships are bombing the southern Somalia port at Kismayo. The war in Somalia is taking place at the aegis of US imperialism., a photo by Pan-African News Wire File Photos on Flickr.
1000km duh! Kumbe iko juu kuliko S-300 ya mrusi inayoweza kupiga target umbali wa 300km na inayoumiza kichwa nchi za magharibi.

Cc: Elungata, Bukyanagandi, MURUSI.
 
Nikisomaga comment za huku ndani na huu ubishani hua nafurahi sana, ndio hapo najua kwanini wengine tupo JF na wengine wapo huko kwenye Navy wanapanga mipango.
 
Kenya has 312 tanks

Tanzania has 78tanks

Hapo tu tutakuwa tumewaweka chini kabla watoke

Kenya Navy ikiwa kwa sea Itatoa Surface to surface medium range missiles mpaka kwa bases zao 1000km away hawataona kilicho wapiga but its alright JWTZ ni wakuu kwa vita

Kenya army
1479798216685.jpg
1479798227055.jpg
1479798251123.jpg
1479798258720.jpg
1479798269061.jpg
1479798282171.jpg
1479798299690.jpg

Tz kampiga mganda mwenye vifaa vingi na pia aliepokea msaada toka Libya na bado akachemsha shobokeni tu kama kawaida yenu
1973 tanzania only had guns and Lorries in its army its not 1970s anymore

Look at ugandas airforce

C muwajaribu tena mshangae
1479798457999.jpg
 
1973 tanzania only had guns and Lorries in its army its not 1970s anymore

Look at ugandas airforce

C muwajaribu tena mshangae
View attachment 437703
Sasa na ww unadhani huku mambo yamebaki vilevile??? Uzuri sisi sio watu wakubwatuka na kuropoka tu mambo ya kijeshi yanabaki siri tu ukitaka kujionea njoo leta shobo uone
 
Tz kampiga mganda mwenye vifaa vingi na pia aliepokea msaada toka Libya na bado akachemsha shobokeni tu kama kawaida yenu
Mkuu utawaweza awa wakenya wengi vilaza tu hawana kitu kazi kujisifia mitandaoni tu.KDF ni kama kikosi mahalum cha sungu sungu tu
 
Kweli mile away ndo mana mnakuja kujazana humu kulialia maana huko mlipo hakuna anaewasikiliza na kuwatilia maanani nyie wananchi wa kibera mmekuja atleast huku kupata attention

Hamna kipya nyie vilema.You only major in posting Kenya's weaknesses and pray that Kenya will fall.Now let me do the devils advocacy by saying....Tanzania will fall before Kenya does.
 
Mkuu utawaweza awa wakenya wengi vilaza tu hawana kitu kazi kujisifia mitandaoni tu.KDF ni kama kikosi mahalum cha sungu sungu tu
Wakenya wengi walio humu ni wale wa maisha magumu wanakuja tu humu atleast kutoa stress
 
Hamna kipya nyie vilema.You only major in posting Kenya's weaknesses and pray that Kenya will fall.Now let me do the devils advocacy by saying....Tanzania will fall before Kenya does.
I see it will fall kwa kila siku kushinda kwa majirani na kulilia free access kwenye nchi ambayo hamuhitajiki kama vile ni yatima
Btw hatuwezi kuwaombea mdondoke uroho wenu na roho zenu mbaya ndo zitakazowamaliza
 
Back
Top Bottom