Kenya Navy Fleet; The Biggest Navy Fleet Along The Eastern Coast Of Africa

Kenya Navy Fleet; The Biggest Navy Fleet Along The Eastern Coast Of Africa

Wewe nenda kule kwa dirtiest cities in the world uone vile nyii mnaishi....Panya hata afadhali...A danganyikan like you cannot tell me anything when I have lived and worked in Tz for several years....
Haha hata na wewe pia nlidhan yule boya mwenzenu kumbe nawe upo kwenye furushi lililotimuliwa huku
 
After every airstrike in somalia
View attachment 437389

Shabab wanaishi na Wananchi hauwezi watofautisha kila saa tukifanya Airstrike somalia Parliament mogadishu inazua , wasomali wanaanza protest usa britain netherlands na Canada UN inaanza kusema tunaua mimea na wanyama ya wasomali kama collateral damage.....kama unadhani hzo zitatiliwa maanani kati ya vita ya nchi mbili tofauti sijui uko dunia gani.....tuta lipua kulipua ....angalia kama israel palestine hawajali mahali mabomu yanaanguka bora yameanguka .....

Venye Idi amin Dada in 1973 alisema kuwa ataingia kenya Kuchukua ardhi wanainchi wote walisimama toka kisumu wakamwambia ajaribu aone ....Idi amin akaamua aende Kuchukua the next best thing Bukoba .....kama unadhani wakenya hawata simamia huo ujinga unajidanganya Tayari Kenya kuna 2.4mn illegal guns kwa Civilians ......cjui CCM inawapa propaganda gani lakini fanyeni hivi Jaribu Kuichokoza kenya ....kama umoja wetu hapa JF haijakufanya ubadili mind yako uko kwingine

Wakenya ni kama wasomali

Tutachukiana siku mzima lakini 3rd party akiingilia vita hivi tu sote tuta ungana kumtoa ....

Kenya hamna jeshi na msije mkajalibu kuichokoza Tanzania maana kama Uganda alichapwa ndani ya mwaka, Kenya haitachukua mwezi tutakua tumemaliza biashara.

Uganda wamechukua kisiwa chenu lakini Bado mnaendelea kujiaminisha mna jeshi bora, muwe mnauliza hao migambo wenu kuhusu jwtz acheni umbumbumbu.!! Owkey u [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Sisi pia hatubishani katu na warogi wala Albino ambao wamejazana Tandale wakisema ni the largest city in the world kushinda NYC
1479828888110.jpg
mashabab wenu wanawagongaje he Heheheheheheeee..... skuchek wewe nacheka viatu vya shababi wenu
 
hii ligi ya watz na wakny huwa naipenda sana utafikiri mtu na mtani wake hahaaaa
 
Venye Idi amin Dada in 1973 alisema kuwa ataingia kenya Kuchukua ardhi wanainchi wote walisimama toka kisumu wakamwambia ajaribu aone ....Idi amin akaamua aende Kuchukua the next best thing Bukoba .....kama unadhani wakenya hawata simamia huo ujinga unajidanganya Tayari Kenya kuna 2.4mn illegal guns kwa Civilians ......cjui CCM inawapa propaganda gani lakini fanyeni hivi Jaribu Kuichokoza kenya ....kama umoja wetu hapa JF haijakufanya ubadili mind yako uko kwingine

Wakenya ni kama wasomali

Tutachukiana siku mzima lakini 3rd party akiingilia vita hivi tu sote tuta ungana kumtoa ....
Kweli wewe unachoongea hukijui vipi kuhusu Al shabaab imewashinda mnabaki mna bwatabwata
 
MK...Patamu hapo aisee!....kwanza nakumbuka zilipokuwa kwenye action kule Somalia, I was looking for the live bombardment videos online!
Hilo kombora moja naskia laweza chapa upto 100 KM inland from the Sea!
Yaani moja tu limetosha ku flatten Dar pamoja na mapimbi yake yote yaliyomo humo magogoni!.........😀😀😀!
You have gone too far
 
Is this the same navy that were searching for the bodies of the Lady and her daughter for weeks? They can't dive, neither swim, Kenya drinking force

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But kwa ground KDF ni mdebwedo

Aisee sijawahi ona jeshi legelege kama KDF
 
Kwikwikwikwi. Sasa wewe umeonesha vitu gani hivyo sasa hayo makopo ndio unasema upo na Navy ya kueleweka?
Umeziona hizo Amphibious Tanks zipo zaidi ya 50. Nyie mnaendelea na mambo ya kizamani mnatumia meli za kuvulia samaki eti ndio za kivita!!? Chinekeee kwikwikwikwi. Kenya nyie cha mtoto sana.
Wanataka wote tuamini vya mzungu wakati kila kukicha muiran anavilipua tu wenyewe wanajidanganya havionekani havionekani, Haionekani au wao ndio hawavioni Sasa hv vifaa vya kivita mchina, mrusi , mkorea ,muiran ndio habar ya mjini
 
Na Bado Ethiopia wanaangusha ndege zenu mnafyata mkia Kama mbwa koko.inasaidia nini za kazi gani
 
What of TPDF wenye wanapigwa mapanga na rebels kule Congo, sitosahau kamwe[emoji23] kisha wale wengi ni child soldiers alafu mnajisifu kupigana na watoto kwa vichaka., bure kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
But kwa ground KDF ni mdebwedo

Aisee sijawahi ona jeshi legelege kama KDF
 
What of TPDF wenye wanapigwa mapanga na rebels kule Congo, sitosahau kamwe[emoji23] kisha wale wengi ni child soldiers alafu mnajisifu kupigana na watoto kwa vichaka., bure kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha au ata habari kutoka crediblesorce kwa jwtz walkimbia mapanga na ukishindwa we ni shoga ...

Sema su nkuwekewee kdf walvowaacha usa wapambane wenyewe ndani ya ardhi yenu
Sema su nkuweke video kdf wakisackdick za alshabab el ade camp
Sema su nkuonyeshe kdf wakiiba mikate westgate
Sema su nkuonyeshe kdf walvochuka wiki3 na kushindwa kuopoa miili ya mama na mwana mombasa af wakaja privatedivers
Eti ilo ni jeshi la taifa la kenya
Bastard kabisa
 
weka video wakitatuliwa linda tuone kama wanayaweza
 
The Kenya Navy is training an elite force to tackle the ever changing global warfare at sea.
The Marine Commandos will inject real time asymmetric tactics and operations to tackle enemy actions.
They will augment the existing Kenya Navy -Special Force"
11679014_ez07d4ewoaeavl_jpege8921c37836dd34a0c2eb1f4f7bcabea.jpeg

11679015_ez07eiaxqae4ewu_jpegd11b9a7499b928417fae8e940936d559.jpeg

11679016_ez07fhbxsae5xss_jpege9066789d50d98c24521f33de41aa112.jpeg

11679017_ez07fsiwaaaoyk8_jpeg7f34ab0d0b19ef0a97845063d6c0555c.jpeg
 
Bado yule mama akazama majini na binti yake kamaliza karibu 2 weeks Kenyan 'mavy' mkashindwa kuwatoa
 
Back
Top Bottom