hahaha mathematical 1 = 0.57
accept it or remain adamant
bro 1 ni sawasawa na 0.57 hakuna mkubwa hapo kama ingekuwa 2 vs 0.109 hapo 2 is > than 0.1 lkn for the case ya 1na 0.57 mathematically THEY ARE THE SAMESo if 1>0.57 then who is considered more poorer than the other? Is 1 or 0.57?
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kwamba huwezi kumfananisha maskini wa Kenya na wa Tanzania..Wakenya ana hali mbaya sana
bro 1 ni sawasawa na 0.57 hakuna mkubwa hapo kama ingekuwa 2 vs 0.109 hapo 2 is > than 0.1 lkn for the case ya 1na 0.57 mathematically THEY ARE THE SAME
Nigeria has now overtaken India as the world's poverty capital as 86.9 million people are currently living in extreme poverty.Ahaaa haaa haaa
Sometimes if it renders bad news of yours, you call it a news from "fake tabloid".
" At least 17.4 million Kenyans are living below Sh92.4 per day, latest World Bank data on poverty rates shows.Issue ni kwamba huwezi kumfananisha maskini wa Kenya na wa Tanzania..Wakenya ana hali mbaya sana
Poorest country in what measure?
- we feed ourselves,
- we build new railway systems with our own money,
- we fund our biggest project (the electric dam),
- we build another phase of BRT,
- we buy new planes with cash,
- we design our own roads, bridges, skyscrapers and fund them with our own money.
Oh, BTW all these happening concurrently.
Ndyo matatizo ya ku practise capitalism to the fullest! Ilibidi wachanganye kidogo na ujamaa tokea zamaniKenya mpaka uwe na hali ya ahueni aisee lazima umepigika mnooo, Kenya kaukuta vijana ni matajiri au viongozi wa ngazi za juu serikalini au kwenye organizations ni ngumu sana, Tanzania ukienda maeneo ya Iringa kule matajiri wengi sana ni vijana wadogo from early 20s wamepata pesa kwenye miti, avocado's etc
Ukienda kanda ya ziwa vijana wengi sana ni matajiri wamepata pesa kwenye madini, uvuvi, wtc
Ukienda kaskazini utakutana na vijana wengi wanamiliki expedition companies na tour operators wametajirika ni vijana wadogo yaani kila eneo Tanzania kuna fursa ya mtu yeyote kufamikiwa tofauti na monopolised Kenya, waliofanikiwa ndio wataendelea kufanikiwa na maskini wanazidi kua fukara.
So, what is the purpose of learning engineering if we don't design our own projects? Here are few projects designed by our people;You don't have brains to design those infrastructure young man, show me one project designed by Tanzanian and I will show you a holy thug.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa wealth illusion, unamiliki ma vitu kibao ya mkopo halafu unajiita tajiri! Ki ukweli ukifatilia waafrica wanaoishi nchi zinazoitwa "maskini " wengi wao wanaishi maisha mazuri kuliko ulaya na marekaniTatizo sisi waafrika hatuhoji maswali ya maana, tunapelekeshwa na kukubali tuu, kwa kuwa ni UN.
Kutumia kigezo cha dola moja/mbili kama kipimo cha umasikini, si sawa. Kipimo halisi ni uwezo wa hiyo dola kuweza kutumika (PPP) kati ya nchi na nchi.
Hapa US kula vyakula vyenye Afya (Organic) ni gharama sana, watu wengi hawamudu. Maziwa ya kawaida (feki), kwa mfano; Walmart wanauza gallon moja (3.7liters) kwa $1.8 wakati organic milk (real) $6.8. Sasa mtanzania wa kawaida anakula kila kitu organic, kuanzia nyanya, machungwa, mchele n.k. Sasa kama ukichukua kila kitu anachokula mbongo "masikini" na kulinganisha bei yake US utaona watanzania wengi siyo masikini kiivyo, kwasababu wanamudu mahitaji ya kula chakula cha hadhi ya juu (organic).
Sasa badala ya watu wetu kuhoji hivi vipimo vya umasikini kulingana na nchi husika, tunakubali kukokotwa kama mkokoteni, kisa UN kasema.
Umeongelea hali ya nyumba wanazoishi n.k lakini tunarudi pale pale, hizo nyumba niza madeni mpaka utosini. Watu wanaishi paycheck to paycheck, tatizo dogo likitokea mtu anakuwa homeless sasa utasema hiyo jamii ni ya tajiri?
So, what is the purpose of learning engineering if we don't design our own projects? Here are few projects designed by our people;
What you don't realize is that, the $0.54 in Tz has more purchasing power (almost three times) than the $0.92 in Ke and if you want to get fancy, you can find the normal distribution of each group to see which country has the upper hand in terms ofSomeone is considered poor in Tz when s/he can't spent .54 dollars a day while someone is considered poor in Kenya when s/he can't spent .92 dollars a day." At least 17.4 million Kenyans are living below Sh92.4 per day, latest World Bank data on poverty rates shows.
Patric Mfugale, B.J. Amuli (RIP)
Kumbuja =KumbukaKumbuja kuwa hao hao Wakenya ndiyo wawekezaji namba moja Tanzania kwa nchi za Afrika.