Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
I don't understand you, elaborate.The 45th is the answer to your question as he is the King of deficit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't understand you, elaborate.The 45th is the answer to your question as he is the King of deficit.
That Kenyan was very wrong. How could he??Kuna siku niliwahi kusema ktk UZI flan maskini wa TZ na maskini wa KE mara 1000 maskini wa TZ kuliko KE. kwa sababu nilikuwa najua hilo ILA nika mwambia MKE mmoha ya kuwa NAIRB ni pazuri kuliko DSM pengine ni jiji tajiri kbs lkn sio nchi ya kenya ni tajiri .. unfortunately kuna mwaka flan mtangazaji mmoja wa KE anaitwa Kamene Goro alikuwa ktk show moja ya HOT96 aambiwa yule mdada akasema eti TZ kuifikia KE inasubiri mara 500 😀😀😀 nilicheka sanaaa
Very trueKusema ukweli raiya wa Tanzania wamelala ama majority ni gullible. They can't see nor think!
Mavi yakooooooThat Kenyan was very wrong. How could he??
Actually, here is the truth. It will take forever to reach where Kenya is right now. You're not even where dryopithecus was years ago. Where on earth, do people practispractpractisprap
Childish and stupid.🙄Mavi yakoooooo
Dawa yako haijapatikana sababu madaktrai muhimbiri cindano wanadunga viichaHabrini za mchana wadau!
Jaman kwa mujibu wa radio Deutsche Welle idhaa ya Kiswahili imesema Kenya ndio nchi maskini katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Unaambiwa umaskini Kenya unapungua kwa kiwango cha 1.6 % + Wananchi wake ndio wenye kipato cha chini kuliko nchi zote za EAC.
Japo redio hiyo inasema uwepo wa Serikali za kaunti kidogo inachangia ongezeko la mapambano dhidi ya umaskini kwa kurahisisha upatikanaji wa rasilimali na huduma muhimu.
====
SASA NYIE WA KENYA WA HUMU MNAOJIFANYA KENYA NDIO NCHI TAJIRI KWA UKANDA HUU WA EAC mbona mlikuwa mnadanganya kwa kujifanya eti KENYA NDIO NCHI tajiri. weak up KENYAN our dear brother & sister acheni kujivuna humu JF kumbe nyie ni HOHEHAE mnajifanya mnandege 24 kumbe hamna kiitu mara mjifanye mnazalisha maua mna export kumbe wanufaika wapo US.
Source : Radio Deutsche Welle makala ya wanawake
Mtangazaji ni : Theluma mwanzaya