Kenya ndio tegemezi mpya la soko la Tanzania, hivyo chokochoko ziishe

Ahaaa haaa haaa
mwingine huyu muhanga wa vyeti feki.
Teh teh teh tihiii

Vyeti feki kivipi mzee?

Wewe unaamini wanadamu lazima wawe na vyeti kama vyako ndio wawe sahihi?

Vyeti vyako "geunine" umepata kutoka wapi?
 
The kenya shilling is making local production unprofitable..Kenya is now a net importer even from Uganda
 
Mtapata shida sana na kwashakooo kwani njaa mnaijua na ubavu wa kulima hamna .. cheza na wabongo nyie tuamue kukatavkamna kuwauzia na tupate soko nchi nyingine kama hamkuja Tanzania kwa magoti wakenya wote kuomba tuwape msosi😁😁
Pwahahaha....tunaingiza toka Uganda tu...kwani bongo ndo nini wewe
 
So ina maana Kenyans mna buy sana Tanzania recently??

Tukibana kuwauzia msisosi mtakufa njaa manyang'au...
uliskia bongo tu ndo vyakula vinapandwa pekee yake...ebu tumia akili angalau...mkipoteza soko la Kenya wakulima wataumia....vyakula hivyo vitaozea shambani itabidi mwapatie nyumbu walehapana chesa na nyang'au
 
Hivi Kenya zaidi mnatuuzia nn?
Kelele za mitandaoni hazizuii Kenya na Tz kufanya biashara kamwe sisi ni watani tu
Blue band, UHT milk+ brookside, fry mate, royco, jamaa soap, panga soap, aina kadhaa za vifungashio, panadol, bigG na vingine vingi tu
 
Mtapata shida sana na kwashakooo kwani njaa mnaijua na ubavu wa kulima hamna .. cheza na wabongo nyie tuamue kukatavkamna kuwauzia na tupate soko nchi nyingine kama hamkuja Tanzania kwa magoti wakenya wote kuomba tuwape msosi[emoji16][emoji16]
Money talks bro
 
Vyeti feki kivipi mzee?

Wewe unaamini wanadamu lazima wawe na vyeti kama vyako ndio wawe sahihi?

Vyeti vyako "geunine" umepata kutoka wapi?

Ahaaa haaa haaa
baada ya kuhitimu shule na kufaulu.
Teh teh teh tihiii

umeongea kwa uchungu mno.
 
Ahaaa haaa haaa
baada ya kuhitimu shule na kufaulu.
Teh teh teh tihiii

Kuhitimu shule gani wewe?

Tukianza kutaja shule tulizosoma na kuhitimu huenda wewe ndie ukaonekana kituko zaidi...

Haya taja shule ulizosoma kila grade....na ni vizuri ukaweka na tokeo lako kabisa na ni vyema ukaweka na screenshot ya cheti!

Aliakeem.sio vizuri kuongelea mambo ya darasani mahali ambapo haihitajiki na kudharau wengine as if wewe ndio umesoma sana!

Ni ushamba flani hivi na kutojiamini!

Low self esteem ni mtu kudharau mwingine ile yeye ajisikie vizuri kwenye low level yake aliyopo...Yaani hayupo confortable kwenye level aliyopo mpaka ajaribu kumdharu mwingine ndio ajisikie vizuri..such an evil act au self gratification!
 

niwie radhi ndg yangu kwa kukukwaza. BINAFSI sipendi kujikweza au kushindana.
naomba tu tuendelee na mijadala motomoto bila kushambuliana.

ila na wewe usimshambulie sana RAIS, kila kitu ni kupinga tu. siamini kwamba hafanyi makosa, lkn pia siamini kwamba hafanyi yaliyo mema kwa NCHI yake. inashangaza kuona kuna watu wamekaa kwa ajili ya kuchambua na kukosoa, that's not right.
 

Mkuu mbona umesema nisimshambulie rais?Mbona unamkinga?

Kwani huamini uhuru wa mawazo?Kwanini unataka mawazo ya mwingine yawe sambamba na ya rais wako?Kwanini?

Ungetakiwa uwatie moyo wenye mawazo mbalimbali kwa uhuru,tena yanayompiga huyo rais wako ndio uyaache kabisa watu waongee fikra zao tani yao..huo ndio uhuru wa mawazo!

Labda uniambie wewe si muumini wa uhuru wa mawazo,nyie huenda mnafata Theocracy!Google hilo neno halafu uniambie....
 

Ahaaa haaa haaa
mimi ninapenda uhuru wenye mipaka. hayo mengine siyakubali.

pia sikubaliani na wanaompinga RAIS KATIKA KILA jambo analofanya.

nimesema sibishi kuwa RAIS huwa anafanya makosa. lkn sikubaliani na woote wanaosema RAIS anakosea kwa kila anachofanya.
 

Uhuru wenye mipaka sio uhuru mkuu....

Wewe sema hampendi mmpingwe/challenged kwenye what you do serikalini mwenu....and thats shows how incompetent you people are!Kuna kitu somwhere you people are scared to death,kuna something very fundamentally wrong with you people with you government..

Tena mngetakiwa muwapende critics wenu kama sisi,sio mnajenga vita nao...they keep you people better and fit!

It shows bado hampo strong mentally...it really shows aisee..and i feel really sorry for you people na serikali yenu!
 

Teh teh teh tihiii
nadhani huelewi maana ya hiyo phrase "uhuru wenye mipaka".
uhuru usio mipaka ni theory but in reality no freedom with no limitations. it has never been experienced on earth. that's why we are having laws and regulations. even at a family level we have some limitations. hata kule benki hela ulizoweka ni zako, lkn ukienda kuchukua LAZIMA ufuate UTARATIBU kutia ndani kupanga mstari. hata BARABARA kuna uhuru wenye mipaka, ndiyo MAANA hatujiamulii kukimbia kadiri tunavyotaka au hata kuendesha magari upande tunaojisikia, yaani kulia au kushoto.
nimejaribu kutumia mifano halisi ili tuwe pamoja. lkn ikilazimu itabidi niingie kwenye philosophy of law to be precise.
 
The kenya shilling is making local production unprofitable..Kenya is now a net importer even from Uganda
Kenya is now the dumpster of all garbage from wherever, it imports fivefold of what it exports.

Imports great figure more than the rest of the region does combine.
 

Sawa,tuseme you are right for whatever!

Niambie ni kwanini mnaogopa hivyo kukosoelewa?

Mnakosa usingizi wa nini kama mnajua mlifanyalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…