Teh teh teh tihiii
nadhani huelewi maana ya hiyo phrase "uhuru wenye mipaka".
uhuru usio mipaka ni theory but in reality no freedom with no limitations. it has never been experienced on earth. that's why we are having laws and regulations. even at a family level we have some limitations. hata kule benki hela ulizoweka ni zako, lkn ukienda kuchukua LAZIMA ufuate UTARATIBU kutia ndani kupanga mstari. hata BARABARA kuna uhuru wenye mipaka, ndiyo MAANA hatujiamulii kukimbia kadiri tunavyotaka au hata kuendesha magari upande tunaojisikia, yaani kulia au kushoto.
nimejaribu kutumia mifano halisi ili tuwe pamoja. lkn ikilazimu itabidi niingie kwenye philosophy of law to be precise.