Kenya ndio tegemezi mpya la soko la Tanzania, hivyo chokochoko ziishe

Sawa,tuseme you are right for whatever!

Niambie ni kwanini mnaogopa hivyo kukosoelewa?

Mnakosa usingizi wa nini kama mnajua mlifanyalo?

Teh teh teh tihiii
bwana mdogo, hata katika level ya familia haturuhusu kukosolewa, na HAMNA anayependa.
lkn lililo kuu wengine hukosoa jambo wakati hawana taarifa sahihi na zilizojitosheleza, matokeo yake ni kuleta sintofahamu kwenye jamii na kuleta mikanganyiko, pia upotoshaji.
 
Huo ni udhaifu kwa upande wenu...yanini hampendi?

Mnaogopa mkanganyiko kwa jamiii?Hahahahaaaaa...mnaogopa kuonekana na wapiga kura kua nyie ni vilaza!

Ndio mfumo wa vyama vingi,hamna jinsi,ni lazima mkubali...maana leo wewe ni mtawala na mwingine anang'ang'anie akutoe nae atawale kwa njia mlizojiwekea kama nchi!

Kujifanya hamtaki ndio mnachekesha...futeni basi multipartism!

Opposition inafanya kazi yake halisi na nyie fanyeni kazi yenu halisi,sio mnakata!

Hamuwezi tawala comfortable kwenye democratic country,government in waiting lazima iwaweka tumbo joto kama hivi.

Cha ajabu mnatumia mibavu ya ajabu mnashindwa hoja na ushawishi...what a joke!
 
Teh teh teh tihiii
acha povu, ongea hoja iliyoko mezani,
uhuru bila mipaka. kama una swali kuhusu hili niulize.
 
Teh teh teh tihiii
acha povu, ongea hoja iliyoko mezani,
uhuru bila mipaka. kama una swali kuhusu hili niulize.

Uhuru wenye mipaka sio uhuru!

Na nani anaeweka mipaka kwamba hapa ni mwisho?CCM au nani?

Nani anajivisha mamlaka ya kuwaambia wanadamu wenzake eti hapa ndio mpka wa uhuru wako?Na yeye nani anamwambia?

Absolute power corrupts absolutely!
 
Katiba ndio na sheria ndizo zinaweka mipaka ya uhuru..Uhuru bila mipaka ni upotovu, na katiba ni sauti ya walio wengi watakavyo taka kutawaliwa
 
Uhuru wenye mipaka sio uhuru!

Na nani anaeweka mipaka kwamba hapa ni mwisho?CCM au nani?

Nani anajivisha mamlaka ya kuwaambia wanadamu wenzake eti hapa ndio mpka wa uhuru wako?Na yeye nani anamwambia?

Absolute power corrupts absolutely!

Uhuru wowote una mipaka.ukikosa mipaka hugeuka na kuwa uwendawazimu.

Unaweza kuwa na uhuru wa kuikosoa serikali,ikifikia hatua huiheshimu mamraka iliyopo tayari wewe ni kichaa,hata wanaokusikiliza wataanza kukupuuza.
 
Mkiangalia kiundani, hakuna chokochoko yoyote Tz imewafanyia, ni kufuata sheria zetu tu
Hatimaye chini ya mwaka mmoja baada kuchoma vifaranga upungufu mkubwa wa kuku aina ya broiler jiji la Dar umepelekea bei kupanda zaidi ya Mara mbili. Serikali mbioni kufungua dirisha la augizaji broiler Brazil pamoja na kuwepo broiler wa kutosheleza soko nchi jirani.
Dar’s poultry imports ban now coming home to roost
 
Uhuru wowote una mipaka.ukikosa mipaka hugeuka na kuwa uwendawazimu.

Unaweza kuwa na uhuru wa kuikosoa serikali,ikifikia hatua huiheshimu mamraka iliyopo tayari wewe ni kichaa,hata wanaokusikiliza wataanza kukupuuza.

Ukisema Uhuru na mipaka unakosea mkuu!

Ungeniambia Uhuru na Wajibu!

Ukisema neno mipaka inakua sio uhuru tena!....Uhuru ambao upo controlled sio uhuru!

Kama unaona ni uwendawazima ndio vizuri hasa!....Uwendawazimu ndio uhuru wenyewe!

Nani amekwambia ni lazima uheshimu kitu au serikali?

Heshima ni nini?Usije nipa loosely definition......

Shida ni kwamba nani wa kumwambia mwanadamu mwenzake kua hapa ni mpaka wa uhuru wako ndio hayupo!Nyie wa serikalini ya CCM ndio mnajifanya kujigeuza superhumans kuwaelekeza wanadamu wenzenu cha kufanya kwenye uhuru wao!

You have no such powers.....

Uhuru wa mipaka ni udikteta wa kuwachagulia watu uhuru wao na haupo ........uhuru sahihi ni Uhuru na Wajibu!
 
Hahaha atI "Tegemezi mpya" hiki ni Kiswahili made in Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…