Kenya ndio uchumi tajika hapa Afrika Mashariki. Hilo jambo halipingiki

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy 51,000.

Cc Geza Ulole
 
Uchumi upi huo?

Budget 80% mkopo

ka unastuka na Deni ya Kenya nenda kaangalie ya South Africa,Nigeria,Morroco,France kuzidisha Angalia ya Japan na USA hutorudi Kusema ATI Kenya itashindwa kulipa Mkopo
 
Why are you mentioning Kenya and those countries in one sentence
 
Dah! Nyie jamaa acha tu.

Huko kibera mnanufaika na Unachoongea hapa?

Ukute unaongelea SGA na KK security walipa vimshahara mbuzi.
 
Mbaya zaidi kwa wale hupoteza muda wao kwenye malumbano ya Dar vs Nairobi, hebu shangaa na uwaze na kuwazua kwamba GDP ya Nairobi ni mara mbili ya Dar, maana kwamba uchumi wa Nairobi pekee unakaribia kutoshana na uchumi wa Tanzania yote.....yeah Tanzania yote hata ukiunganisha nchi zao mbili, yes Tanzania yote ukiunganisha mikoa yote kote kote pamoja na kila kitu walicho nachoo, Nairobi pekee inapambana na nchi yao yote.

main-qimg-61823c1e2cf8103b1db296a34dfc7e6d
 
Haka kapicha ni kazuri. Kanaelezea mambo mengi.
 
Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy 51,000.

Cc Geza Ulole
Tanzania hakuna ubaguzi ndo maana wakenya ni rahisi kuwekeza, wakenya wabaguzi, wana roho mbaya, pia hakuna utulivu ndo maana watanzania wanaogopa kuwekeza kwa wingi.

ikiwa hata wachache waliopo huko mlitaka kuwafanyia vurugu unadhani nani atavutiwa kuwekeza linchi la namna hiyo?
 
Sawa Mzee wa uchumi Tajika.
Kwa Yale niliyoyaona jana kwenye msafara wa rais kutoka Airport mpaka Ikulu, barabara za Kenya:-
1. Mbovu
2. Hazina sidewalk
3. Hazina marks
4. Uchafu kila kona.

KWELI KENYA IPO NA UCHUMI TAJIKA.
 
Mbaya zaidi kwa wale hupoteza muda wao kwenye malumbano ya Dar vs Nairobi, hebu shangaa na uwaze na kuwazua kwamba GDP ya Nairobi ni mara mbili ya Dar, maana kwamba uchumi wa Nairobi pekee unakaribia kutoshana na uchumi wa Tanzania yote.....yeah Tanzania yote hata ukiunganisha nchi zao mbili, yes Tanzania yote ukiunganisha mikoa yote kote kote pamoja na kila kitu walicho nachoo, Nairobi pekee inapambana na nchi yao yote.

main-qimg-61823c1e2cf8103b1db296a34dfc7e6d
Total wealthy sio GDP, alafu kumbe na wewe kimombo kinakusumbua eeh
 
Sawa Mzee wa uchumi Tajika.
Kwa Yale niliyoyaona jana kwenye msafara wa rais kutoka Airport mpaka Ikulu, barabara za Kenya:-
1. Mbovu
2. Hazina sidewalk
3. Hazina marks
4. Uchafu kila kona.

KWELI KENYA IPO NA UCHUMI TAJIKA.
sasa barabara yenye bado inajengwa jamani..haujui hio barabara rais wenu alipitia ni mombasa road...hio barabara lote limeharibiwa na kujengwa upya juu expressway...uchafu lazima itakua juu kunachmbwa na pia mvua inanyesha sai..sasa michanga yote yanebebwa kutoka kwa site hadi hadi upende mwengine
 
Lengo lenu la kumpitisha kwenye barabara mbovu ni nini!?
 
Ulikuwa unataka apitishwe hewani wakati hiyo ndio Barabara inaconnect airport na cbd? Mbona akili inakupa kisogo? Watu wote wanaotoka na kuenda airport ni LAZIMA wapitie Mombasa road na hii ndio moja ya sababu ambazo hiyo expressway inajengwa - kuharasisha usafiri kati ya airport na cbd
 
Makampuni iliyo jiwekeza Tanzania sii ya wakenya. Ni makampuni yaliyosajiliwa Nairobi kwa kama HQ. Ni za wazungu hasa UK na holazi. Hakuna mtu mweusi toka Kenya. Ni Wahindi. Sio kama wakina Mengi AZAM. Mashamba. RostamAzzi Manji. MO
 
Sawa Mzee wa uchumi Tajika.
Kwa Yale niliyoyaona jana kwenye msafara wa rais kutoka Airport mpaka Ikulu, barabara za Kenya:-
1. Mbovu
2. Hazina sidewalk
3. Hazina marks
4. Uchafu kila kona.

KWELI KENYA IPO NA UCHUMI TAJIKA.
Wacha Zako😛Na Venye Suluhu alivyobambika na Nairobi
 
Back
Top Bottom