ka unastuka na Deni ya Kenya nenda kaangalie ya South Africa,Nigeria,Morroco,France kuzidisha Angalia ya Japan na USA hutorudi Kusema ATI Kenya itashindwa kulipa MkopoUchumi upi huo?
Budget 80% mkopo
Why are you mentioning Kenya and those countries in one sentenceka unastuka na Deni ya Kenya nenda kaangalie ya South Africa,Nigeria,Morroco,France kuzidisha Angalia ya Japan na USA hutorudi Kusema ATI Kenya itashindwa kulipa Mkopo
where is the problem??Why are you mentioning Kenya and those countries in one sentence
😃Wwe umechanganikiwa Kama Samaki🤣🤣🤣🤣🤣Dah! Nyie jamaa acha tu.
Huko kibera mnanufaika na Unachoongea hapa?
Ukute unaongelea SGA na KK security walipa vimshahara mbuzi.
Haka kapicha ni kazuri. Kanaelezea mambo mengi.Mbaya zaidi kwa wale hupoteza muda wao kwenye malumbano ya Dar vs Nairobi, hebu shangaa na uwaze na kuwazua kwamba GDP ya Nairobi ni mara mbili ya Dar, maana kwamba uchumi wa Nairobi pekee unakaribia kutoshana na uchumi wa Tanzania yote.....yeah Tanzania yote hata ukiunganisha nchi zao mbili, yes Tanzania yote ukiunganisha mikoa yote kote kote pamoja na kila kitu walicho nachoo, Nairobi pekee inapambana na nchi yao yote.
Tanzania hakuna ubaguzi ndo maana wakenya ni rahisi kuwekeza, wakenya wabaguzi, wana roho mbaya, pia hakuna utulivu ndo maana watanzania wanaogopa kuwekeza kwa wingi.Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy 51,000.
Cc Geza Ulole
Total wealthy sio GDP, alafu kumbe na wewe kimombo kinakusumbua eehMbaya zaidi kwa wale hupoteza muda wao kwenye malumbano ya Dar vs Nairobi, hebu shangaa na uwaze na kuwazua kwamba GDP ya Nairobi ni mara mbili ya Dar, maana kwamba uchumi wa Nairobi pekee unakaribia kutoshana na uchumi wa Tanzania yote.....yeah Tanzania yote hata ukiunganisha nchi zao mbili, yes Tanzania yote ukiunganisha mikoa yote kote kote pamoja na kila kitu walicho nachoo, Nairobi pekee inapambana na nchi yao yote.
sasa barabara yenye bado inajengwa jamani..haujui hio barabara rais wenu alipitia ni mombasa road...hio barabara lote limeharibiwa na kujengwa upya juu expressway...uchafu lazima itakua juu kunachmbwa na pia mvua inanyesha sai..sasa michanga yote yanebebwa kutoka kwa site hadi hadi upende mwengineSawa Mzee wa uchumi Tajika.
Kwa Yale niliyoyaona jana kwenye msafara wa rais kutoka Airport mpaka Ikulu, barabara za Kenya:-
1. Mbovu
2. Hazina sidewalk
3. Hazina marks
4. Uchafu kila kona.
KWELI KENYA IPO NA UCHUMI TAJIKA.
Lengo lenu la kumpitisha kwenye barabara mbovu ni nini!?sasa barabara yenye bado inajengwa jamani..haujui hio barabara rais wenu alipitia ni mombasa road...hio barabara lote limeharibiwa na kujengwa upya juu expressway...uchafu lazima itakua juu kunachmbwa na pia mvua inanyesha sai..sasa michanga yote yanebebwa kutoka kwa site hadi hadi upende mwengine
Ulikuwa unataka apitishwe hewani wakati hiyo ndio Barabara inaconnect airport na cbd? Mbona akili inakupa kisogo? Watu wote wanaotoka na kuenda airport ni LAZIMA wapitie Mombasa road na hii ndio moja ya sababu ambazo hiyo expressway inajengwa - kuharasisha usafiri kati ya airport na cbdLengo lenu la kumpitisha kwenye barabara mbovu ni nini!?
Kenya is no match to any of those countries, Kenya is a third world country, with millions dying of hunger on annual bases.Why are you mentioning Kenya and those countries in one sentence
Wacha Zako😛Na Venye Suluhu alivyobambika na NairobiSawa Mzee wa uchumi Tajika.
Kwa Yale niliyoyaona jana kwenye msafara wa rais kutoka Airport mpaka Ikulu, barabara za Kenya:-
1. Mbovu
2. Hazina sidewalk
3. Hazina marks
4. Uchafu kila kona.
KWELI KENYA IPO NA UCHUMI TAJIKA.