Kenya ndio ya nne kwa wingi wa matajiri Afrika

$20k ya mkupuo unafikiria ni mchezo[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Use your brains ti figure this out...

Nigeria population 190 million
Kenya population 50 million
Acha ujinga ww, population 50 million unashindwaje kuwa na matajiri japo 900 tu, vp kuhusu nchi zilizobaki zenye population kubwa kuliko nyie mbn mmezizid idadi ya billionaires( kwa mujibu wenu).
Excuses will never help u.
 
Maamaee shuzi lazima likutoke hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Huu ni ukweli Kenya kiuchumi wamepiga hatua kuliko nchi zote za ukanda huu wa mashariki hivyo kuwa katika orodha ya juu kabisa ya nchi yenye mabilionea wengi kwa Afrika ni sawa kabisa,jamaa wanajua kuitafuta hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza mechi mzee baba hili sio jukwaa la kuungana mkono humu ni kubishana kwa kwenda mbele hii ndio vita ya kiuchumi sasaπŸ˜‚ ukiyasapot haya manyang'au yanazidish kibri wakat yanakufa na njaa
 
Sindano za motoooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰



 
Unauza mechi mzee baba hili sio jukwaa la kuungana mkono humu ni kubishana kwa kwenda mbele hii ndio vita ya kiuchumi sasa[emoji23] ukiyasapot haya manyang'au yanazidish kibri wakat yanakufa na njaa
Kuna watu bado wana mentality ya uwoga, hawajiamini km wanaweza ila co kesi, cz watz wa hvyo ni wachache sn and lots of them ni wale wapinga kila kitu mpk maendeleo, atakuambia miaka mitatu ss maji hakuna maji yakiletwa atakuambia nishukuru nn wkt pesa zng mwnyw tax payer bila kujua kwmb pesa zinaweza kuwa zake na zicmsaidie vile vile, nadhani Wakenya wanajuwa namaanisha nn.
 
Pia nmefuatilia forums zao nimegundua majaa yanatohofia sana na yanataman yangua sisi tunwatimulia vumbi vibaya mno
 
Huu ni ukweli Kenya kiuchumi wamepiga hatua kuliko nchi zote za ukanda huu wa mashariki hivyo kuwa katika orodha ya juu kabisa ya nchi yenye mabilionea wengi kwa Afrika ni sawa kabisa,jamaa wanajua kuitafuta hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli sababu ni kwamba Kenya Pesa ya serikali siyo mali ya uma ni mali ya viongozi wa serikali na familia zao na mabeberu huko ndiko kikwete alitaka kuipeleka tz ,asante magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…