Nafurahi umejua kila mtu na tabia zake maana kuna Raila Odinga hapo Kenya kila kitu yeye anachojua ni mfano USA utadhani ndio wamemtumahaijafikia kiwango cha kuabudu nchi kana kwamba ni mbinguni watz wanavopenda kufanya...😀😀ila haina noma...kila mtu na tabia zake...