Nafurahi umejua kila mtu na tabia zake maana kuna Raila Odinga hapo Kenya kila kitu yeye anachojua ni mfano USA utadhani ndio wamemtumahaijafikia kiwango cha kuabudu nchi kana kwamba ni mbinguni watz wanavopenda kufanya...ππila haina noma...kila mtu na tabia zake...
sawa mkuu.....haya turudi kwenye mada...handaki ya reliNafurahi umejua kila mtu na tabia zake maana kuna Raila Odinga hapo Kenya kila kitu yeye anachojua ni mfano USA utadhani ndio wamemtuma
haijafikia kiwango cha kuabudu nchi kana kwamba ni mbinguni watz wanavopenda kufanya...ππila haina noma...kila mtu na tabia zake...
Mwalimu wao ni malema hao wa xenophobiaSisi hatuwaabudu wa RSA wala nini, kwa mimi binafsi rafiki yangu ni Julius Malema tu, kwa sababu anajitambua, Wengine wale xenophobia imewajaa vichwani mwao.
Hapana namkatalia, kuna clip moja niliiona akiwa bungeni alimlaani sana Rais Zuma kwa kushindwa kuelimisha vijana wa RSA na kutoa wito kwa vijana kuwa there is no country that can be live in isolation, even the USA can not be isolation.Mwalimu wao ni malema hao wa xenophobia
Ulishajiuliza kwa nini wengi wanenda ku shoot SA? Ukumbuke na wasanii wa Kenya wapo wengi wanashoot hukondio.... ila Tanzania Kenya Rwanda na wengine pia wanaweza wakafikia kiwango hicho...vipi wewe? watz wana tabia mbaya sana ya kuabudu afrika kusini..ππ.ndio maana unaona waimbaji wote wamepanga laini kwenda ku shoot video zao kule...aibuπππ...hamjiamini ama vp? huwa naaibika sana nikiwaona akina diamond kule wamebanana kama vibiriti kana kwamba ni wakimbizi...ππ
Shida yako ni hiyo kauli ya kuabudu, labda uweke wazi kuwa tunaabudu SA kwa mtazamo upi?haijafikia kiwango cha kuabudu nchi kana kwamba ni mbinguni watz wanavopenda kufanya...ππila haina noma...kila mtu na tabia zake...
tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana...msiwe na hii mambo ya kila kitu afrika kusini...matibabu ya Lissu, afrika kusini, video afrika kusini, vyumba vya kifahari akina diamond wananunua afrika kusini...mtoto kabla azaliwe mnakimbiza mama hospitali za afrika kusini eti ndio mtoto awe mwafrika kusini....mnatoa pesa nchi tukufu ya tanzania mnapeleka kwa waafrika kusini, watu ambao wana dharau sana nchi zingine za afrika...mnatajirisha nchi nyingine mnaipa yenu umaskini...foreign exchange zote mmeelekeza kule...Shida yako ni hiyo kauli ya kuabudu, labda uweke wazi kuwa tunaabudu SA kwa mtazamo upi?
Nchi tuliyoisadia kupata uhuru ndo tuiabudu? Wao ndo wanatuabidu japo wanatuzidi maendeleo lakini wanatuheshimu sana kwa msaada tuliowapa!
Mifano yako hii yote inalenga mtu mmoja tu, diamond platinums!tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana...msiwe na hii mambo ya kila kitu afrika kusini...matibabu ya Lissu, afrika kusini, video afrika kusini, vyumba vya kifahari akina diamond wananunua afrika kusini...mtoto kabla azaliwe mnakimbiza mama hospitali za afrika kusini eti ndio mtoto awe mwafrika kusini....mnatoa pesa nchi tukufu ya tanzania mnapeleka kwa waafrika kusini, watu ambao wana dharau sana nchi zingine za afrika...mnatajirisha nchi nyingine mnaipa yenu umaskini...foreign exchange zote mmeelekeza kule...
Ali kiba, rayvanny waimbaji karibu wote wana shoot video zao Afrika Kusini...sio Diamond tu..ama nikuletee list...sasa najiuliza, hivi hamna video producers nchi tukufu ya Tanzania au? njoo Kenya, Jaguar na Prezzo wanaweza kuwa wana pesa nyingi hata kumshinda Diamond ila huwezi ukamwona yeyote ameenda nje ku shoot video...make kenya build kenya..wakenya wana ile kujipenda kwanza...Mifano yako hii yote inalenga mtu mmoja tu, diamond platinums!
Sass ndugu yangu, hii ni nchi ya watu 50m. Kama huyo anapendelea huko SA, waliobaki wanafanya hapa mambo yao! Haina tofauti na wanariadha wa huko Kenya wanaochukua uraia nchi nyingine kila siku,
BTW, Diamond kanunua nyumba hapo Kenya pia, mbona hii husemi?
Na mimi nikuulize, kama suala ni ku shoot video SA, wakenya wanaoshoot huko shida ni nini hapo kenya?Ali kiba, rayvanny waimbaji karibu wote wana shoot video zao Afrika Kusini...sio Diamond tu..ama nikuletee list...sasa najiuliza, hivi hamna video producers nchi tukufu ya Tanzania au? njoo Kenya, Jaguar na Prezzo wana pesa nyingi hata kumshinda Diamond ila huwezi ukamwona ameenda nje ku shoot video...make kenya build kenya...
wakenya wachache sana wanaenda nje kushoot video zao...ila njoo Tanzania...janga! Afrika Kusini ishakua Mungu wenu wa pili...hivi karibuni naona watanzania wakianza kukamatwa kule kama wakimbizi...πππ diamond mtz, mke wake mganda...wote wamekwamilia kule...πππkujishusha hadhi...Na mimi nikuulize, kama suala ni ku shoot video SA, wakenya wanaoshoot huko shida ni nini hapo kenya?
Nimeanza kukupa orodha kama sio kukuprove wrong, Jaguar anashoot south africa, hata prezoowakenya kidogo sana wanaenda nje kushoot video zao...ila njoo Tanzania...janga! Afrika Kusini ishakua Mungu wenu wa pili...hivi karibuni naona watanzania wakianza kukamatwa kule kama wakimbizi...πππ
why our musicians shoot videos abroadNimeanza kukupa orodha kama sio kukuprove wrong, Jaguar anashoot south africa, hata prezoo
Sisi tumekubali tunashoot SA, wewe unasema wakenya hawashoot huko, je nikuletee na za prezoo alozoshoot SA? kabla sijafika kwa sauti soul, avril na wengine?
sawa mkuu wameshoot pia wao ila moja moja....njoo kwa kiba ama diamond duh! wacheni hii uabudu wa afrika kusini,...tanzania ni nchi beautiful sana...panda Kilimanjaro shoot video kule...nenda Zanzibar shoot pale...kaa Dar shoot hapo pia...sio kila uchao Cape Town...mnaanza kudharauliwa...kama tu wazungu wanavowadharau waafrika wanaokufa kule Mediterranean kisa walikuwa wakivuka bahari na maboti madogo ili wafike Europe...Sisi tumekubali tunashoot SA, wewe unasema wakenya hawashoot huko, je nikuletee na za prezoo alozoshoot SA? kabla sijafika kwa sauti soul, avril na wengine?
?
Uweza ukawa na logic, lakini idadi ya video za nje bado ni ndogo sana ukilinganisha na zile za ndani!sawa mkuu wameshoot pia wao ila moja moja....njoo kwa kiba ama diamond duh! wacheni hii uabudu wa afrika kusini,...tanzania ni nchi beautiful sana...panda Kilimanjaro shoot video kule...nenda Zanzibar shoot pale...kaa Dar shoot hapo pia...sio kila uchao Cape Town...mnaanza kudharauliwa...kama tu wazungu wanavowadharau waafrika wanaokufa kule Mediterranean kisa walikuwa wakivuka bahari na maboti madogo ili wafike Europe...