Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Mkuu, embu rudi ukaanze kusoma chekechea, nadhani haujabahatika kuelimika
Wanaojua kingereza tanzania wanatusua, kwnza awe ana proffessional flani...basi utamshinda wapi wewe katika interview, yani anachukuliwa juu juu ili wapate kumtumia kuiwakilisha kampuni nje ya mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wenyewe hutesana sana kwa hicho hicho kingereza, ila waliosomea na kuishi Kenya hutafuna vitamu huko kwao, yaani huwa kama wanakula na vipofu vile, ukiingia kikao na wabongo halafu kihusu watu kutokea matafa tofauti, yaani Watz huganda na kuufyata kisa kingereza, ila muda wa mapumziko wakati wa kunywa chai wanatirirka ideas kibao kwa lugha ya Kiswahili.

Watz waliosomea Kenya hupata nafuu sana hata kwenye soko la ajira, ona hili tangazo...

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana, misifa mingi wakiwa mitandaoni...

Si ajabu wengi wao hapa wana classes kw ajili ya kujifunza kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unanipa tabu sana kujua unacho maanisha, embu tafuta mtu akuandikie
Bwahahaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukwel mchungu kwel, yani mpka unajitia upofu...
Ze ze ze ndugu haikupeleki mahali na siku zote ukweli haupingiki jomba..

We komaa na kujitia uwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hauoni aibu kujisifia umahiri wa kutumia lugha za wakoloni wako? Utumwa wa kiakili ni utumwa mbaya zaidi na huko Kenya mnahitaji ukombozi wa kiakili.
vipi wanaopata degrees za university hadi uprofesa (sayansi, uchumi, nk) - jee, hawa nao waone aibu kwa kuwa tu elimu ni ya wakoloni?

rais wetu TZ amewapa nafasi nyeti serekalini Drs, Professors, etc - jee, naye ni mtumwa wa kiakili?
 
vipi wanaopata degrees za university hadi uprofesa (sayansi, uchumi, nk) - jee, hawa nao waone aibu kwa kuwa tu elimu ni ya wakoloni?

rais wetu TZ amewapa nafasi nyeti serekalini Drs, Professors, etc - jee, naye ni mtumwa wa kiakili?
Mkuu, elimu na vyeti vinavyotolewa si vya wakoloni, ni kitu cha kidunia kama dini zilivyo, kwa bahati mbaya au nzuri hao wakoloni iliwabidi wavilete ili angalau waelewane na hao watawaliwa kwa wakati ule. Usije ukaacha kusoma kwa kuogopa mambo ya wakoloni, utakwama
 
...kama Kiingereza kilivyo "kitu cha kidunia".
 

Kujua si jambo baya, upumbavu ni kuja na kujisifu kujua Lugha ya Mkoloni dunia ya leo ambapo inaaminika Vijana wanahoji mambo.
Hao wazungu wamejaa kwenye mitaa yetu huku tz na tunaelewana vema kwa Hicho Kingereza bila shida yoyote, inashangaza kuona karne hii Mtu mweusi anajisifu kuishi Kama mzungu ikiwa yeye ni Mwafrika,
Nahisi njaa imeharibu sana Ubongo wa Wakenya, sababu ni lishe duni wakati wa utoto, Inasemekana lishe bora wakati wa siku 1000 za kwanza za maisha ya mtoto huwa ina impact kwenye ukuaji wa ubongo wa mtoto, Huko kenya kuna njaa sana ndio maana tunakuwa na nyuzi za kipumbavu kama hizi.
 
Mada yeyote kuhusu kiingereza huwa inaibua hisia kali na povu kutoka kwa watz. Huwa sielewi hoja zao kwasababu wao wenyewe walichagua kutumia kiingereza kutoka shule ya upili. Tatizo kuu nadhani ni mfumo mbovu wa elimu. Maanake haingii akilini kwamba mtu mwenye shahada tatu (alizosomea kwa lugha ya kiingereza) anaweza akaongea kiingereza kibovu kama... Cc. Naton Jr
 
yah ni kweli kenya imeishinda Urusi hadi China kwa matumizi ya kiingereza , hongereni sana wakenya kwa Ubwege huo, bigup
 
Hivi hauoni aibu kujisifia umahiri wa kutumia lugha za wakoloni wako? Utumwa wa kiakili ni utumwa mbaya zaidi na huko Kenya mnahitaji ukombozi wa kiakili.

Aisee hawa jamaa sijui kama bongo zao zimekaa sawa mkuu. Yaani hadi wenye lugha wao wenyewe wanawashangaa vile wanavyowashobokea.

Wakenya,jitahidini kubalance shobo basi.
 
Mtu anajisifia kujua Lugha ya Mkoloni wake, mkoloni wala hahitaji kujua Lugha yake, hii ni functional cognitive disorder,
Kenya inaaibisha sana Africa. Nimeona aibu mimi.

Mkuu hunizidi mimi kwa aibu nayoisikia nikimwona mwafrika mwenzangu bado anawaabudu hao wakoloni,na ndio maana hadi leo asilimia kubwa ya watu wa magharibi wanatuona sisi ni kama manyani tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana, misifa mingi wakiwa mitandaoni...

Si ajabu wengi wao hapa wana classes kw ajili ya kujifunza kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wale hujifunza kingereza kwa kubishana na Wakenya huku JF, ukiangalia mada zao za kitambo kuna tofauti na walvyo leo, kidogo wamejiboresha. Kuna kipindi tulikua tunajadili hoja humu kwa kingereza, ilikua inawatesa sana wenzetu mpaka ikabidi tuwaonee huruma na kushuka kwenye level yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…