Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Mtu atajifunzaje lugha bila ya kukosolewa, wazungu tu hkosoana na hakuna anayemuita mwenzake mtumwa...eti kisa muingereza kamkosoa mtaliano basi hapo kunazuka gumzo na kejeli, never
Sent using Jamii Forums mobile app
Km vile mnavyowadharau wanaopiga kilugha mijiniSasa mbona nyie mtz akikosea lugha ambayo sio ya kwake yaani kiingereza mnamcheka,kama sio nyie ni malimbukeni ni nini??
Au bado mkoloni wenu anatawala fikra zenu?
Subirini muanze kukatana mapanga kwa sababu ya BBI.
Sina haja ya kuomba kitu kitakachotokea.
Nikikuuliza Nyerere ametuharibu kivipi utasema ni ile clip akisema "karne hii Tanzania mnaongea makabila" "mnapanda basi la makabila"Sema tu una shobo na kiswahili..
Tena mtumwa ni yule anayemdharau mwenzake kisa anaongea kilugha mjini.
Yani nyerere kawapotosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkenya yupi anaweza kumsahisha mtanzania kiswahili? Bado hajazaliwaHawa huwa wamechanganykiwa, akiongea lugha yake ya asili wanamuita mshamba, akiongea Kingereza wanasema mtumwa, ila pia hata uandishi wao wa Kiswahili hutia kinyaa, itokee siku ufanye kazi na Mtz halafu ahitajike kuandika na kuwasilisha ripoti/taarifa kwa lugha ya Kiswahili, yaani utaishia kusoma aya mbili na kutupa nakala kulee......
nimeaona "Peach" instead of "Peace" and "internal" instead of "eternal" !Kenya bhana..VenyeView attachment 1350209Mlitoa mgonjwa mkaweka maiti
Kiuhalisia jamii zote ambazo english sio Native language huwa wana pata shida kwasababu ya kujifunzia lugha ukubwani, unaweza kuona wachina, wajapan wahindi pia huwa wanateseka sana ukiwakuta wanahangaika kujifunza lugha ya malkia.
Ila pia kiingereza cha Kenya kimeathiriwa sana na lugha za kikabila, best English unaweza ipata Malawi, Zambia na Zimbabwe.Mtu anajisifia kujua Lugha ya Mkoloni wake, mkoloni wala hahitaji kujua Lugha yake, hii ni functional cognitive disorder,
Kenya inaaibisha sana Africa. Nimeona aibu mimi.
Unahitaji kujiuliza wewe hilo swali, manake sio utimamu mtu kumdharau mwenzake kisa anaongea kilugha mjiniNikikuuliza Nyerere ametuharibu kivipi utasema ni ile clip akisema "karne hii Tanzania mnaongea makabila" "mnapanda basi la makabila"
Wakenya wengi kama sio wote kwa ufinyu wao kwenye kiswahili hawajui mpaka leo kutafsiri hayo maneno ya Nyerere
Yaani ni sawa na mhadza kule msituni amsikilize Rais wa France kisha ajitutumue kutafsiri hicho kifaransa
Mwishoe kutokana na ulimbukeni wenu kwenye hiyo lugha mmebaki kujilisha tafsiri mfu juu ya hiyo kauli ya Nyerere na mlivyo punguani bila hata kutaka kujua maana kutoka kwa wenye maana, mmekua eti mkiwakosoa wenye maana kumbe mnajiaibisha tu.
Nikikuuliza Nyerere katuharibu kivipi una cha kunijibu?
Bwahahaaa!!!Sina haja ya kuomba kitu kitakachotokea.
Yaani mpaka leo bado mnaongea haya mambo ya kijinga; kweli? Ndio maana wachina wanawanyuka viboko nyie.
true.Ni wazi kuwa wakenya wanatuzidi kwenye mambo mengi ikiwepo maswala ya kiafya, elimu n.k
Sent using Jamii Forums mobile app