Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Hata uka change gear vipi hapa, bado huwezi zifuta lugha asilia za watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo zipo tena mimi nazijua zaidi ya nne kwa kuongea wewe mkirinyaga,lakini haijalishi ,bado kiswahili ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi Tz na Ea kwa ujumla,na ndiyo lugha yangu pendwa kabisa,na yote kwa yote ndiyo lugha iliyopitishwa kuwa ya Taifa langu Teule la Tanzania.

Upoo??
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sasa ukiandika vitu vya busara km hivi kuna shida gani...

Yani kule kuzunguka kote, kumbe akili zitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia tanzania kuongea kilugha kwenu ni ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatari sana walai, yani unaanzaje anzaje kutupa na kudharau cha kwako jamani

Sisi sio kama nyie washobokeaji wa lugha za watu,kiswahili tu chatosha,hizo lugha nyingine tunazijua ni kwa ajili ya mawasiliano tu na sio tuanze kumkosoa mtu eti pale kakosea,kaongea broken kama mlivyo nyie mapuuzi,tutamkosoa mtz atakeyeongea kiswahili kibovu tu ila sio hivyo vilugha vyenu mnavyovishobokea
 
Hapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.
 
Sema tu una shobo na kiswahili..
Tena mtumwa ni yule anayemdharau mwenzake kisa anaongea kilugha mjini.

Yani nyerere kawapotosha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi sio kama nyie washobokeaji wa lugha za watu,kiswahili tu chatosha,hizo lugha nyingine tunazijua ni kwa ajili ya mawasiliano tu na sio tuanze kumkosoa mtu eti pale kakosea,kaongea broken kama mlivyo nyie mapuuzi,tutamkosoa mtz atakeyeongea kiswahili kibovu tu ila sio hivyo vilugha vyenu mnavyovishobokea
Mtu atajifunzaje lugha bila ya kukosolewa, wazungu tu hkosoana na hakuna anayemuita mwenzake mtumwa...eti kisa muingereza kamkosoa mtaliano basi hapo kunazuka gumzo na kejeli, never

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.
Tena ukizidi nakwambia wanaweza hata kkuondokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa ndio huwa wanadhihirisha wazi kwamba ujamaa ulitafuna hadi akili zao. Kuna siku nilisikia wakimkashifu mwenzao eti kwasababu alikuwa anaongea 'kilugha'(lugha za asili) mjini. Sasa sijui mtumwa ni nani kati ya anayedharau mila na lugha zake za jadi na aliyejiboresha zaidi kwa kujifunza lugha nyingine ya ziada ya kimataifa kama kiingereza.

Hawa huwa wamechanganykiwa, akiongea lugha yake ya asili wanamuita mshamba, akiongea Kingereza wanasema mtumwa, ila pia hata uandishi wao wa Kiswahili hutia kinyaa, itokee siku ufanye kazi na Mtz halafu ahitajike kuandika na kuwasilisha ripoti/taarifa kwa lugha ya Kiswahili, yaani utaishia kusoma aya mbili na kutupa nakala kulee......
 
Back
Top Bottom