Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Daah hii umeua mzebabaa
It is a paramount and imperative duty incumbent upon those of us with the linguistic wherewithal and nuanced germane grasp of issues in a non superficial way, to put context and perspective, facts and figures, history and scholarship, essentials and fundamentals, on a grotesque and shallow monkeying and aping of what is fundamentally not our own, an aping that diabolically masquerades this overall shaming folly as a mischievously juvenile superiority complex at some shitty and pointless tug-of-war.

If only to separate the men from the boys, the mentally enslaved from the self aware, the bitchslapped from the proudly awaken.

Lest there ensues a farcical internecine along the lines of what Einstein called an infantile disease, the measles of mankind.

Nationalism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
". Watu wa ze ze ze wanaishia kuambulia patupu.
Watu wenyewe mna kiingereza kizito halafu mna "jitia tia". An African American dude once told me, "you sound like a regular... not like others (Kenyans)".
 
Kwenu hata waziri mwenye PhD anashindwa kutunga sentensi kwa kingereza, hata cha msingi kinachotumika na watoto wa chekechea huku.
 
Ninyi ndo mnakuwa affected na lugha zenu za kikabila hadi mnachanganya matumizi ya hizo herufi na silabi.... Watoto wa karne wanaongea na kuandika very perfect Swahili and even English.
Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa wa maana. Hapa Jf ushahidi tosha. Kuna watu wapo chuo na kutofautisha hizo silabi hawajui tena wengi sana. Mpaka huwa najiuliza walifaulu vipi. Na kama kiswahili kinamshinda kiingereza inakuaje? Hili ni janga la taifa mkuu usibishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa wa maana. Hapa Jf ushahidi tosha. Kuna watu wapo chuo na kutofautisha hizo silabi hawajui tena wengi sana. Mpaka huwa najiuliza walifaulu vipi. Na kama kiswahili kinamshinda kiingereza inakuaje? Hili ni janga la taifa mkuu usibishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wanaochanganya ni mother tongue zao ndio zinafanya wawe hivyo... Kwan hujawahi sikia watu wa kabila fulani wanachanganya matumizi ya herufi na herufi...mambo ndo yapo hivyo labda kama unataka ulete ligi...kujua ama kutokujua matumizi ya herufi hizo hakukufanyi ufike ama usifike chuo... Na mwisho kujua lugha ya kiswahili hakukupi garantii wewe kuijua lugha ya kiingereza.... Kuna mshikaji kiswahili anachanganya mambo ila kiingereza anaongea na native speaker na wanaelewana.
 
@MK254
It is a paramount and imperative duty incumbent upon those of us with the linguistic wherewithal and nuanced germane grasp of issues in a non superficial way, to put context and perspective, facts and figures, history and scholarship, essentials and fundamentals, on a grotesque and shallow monkeying and aping of what is fundamentally not our own, an aping that diabolically masquerades this overall shaming folly as a mischievously juvenile superiority complex at some shitty and pointless tug-of-war.

If only to separate the men from the boys, the mentally enslaved from the self aware, the bitchslapped from the proudly awaken.

Lest there ensues a farcical internecine along the lines of what Einstein called an infantile disease, the measles of mankind.

Nationalism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@MK254
It is a paramount and imperative duty incumbent upon those of us with the linguistic wherewithal and nuanced germane grasp of issues in a non superficial way, to put context and perspective, facts and figures, history and scholarship, essentials and fundamentals, on a grotesque and shallow monkeying and aping of what is fundamentally not our own, an aping that diabolically masquerades this overall shaming folly as a mischievously juvenile superiority complex at some shitty and pointless tug-of-war.

If only to separate the men from the boys, the mentally enslaved from the self aware, the bitchslapped from the proudly awaken.

Lest there ensues a farcical internecine along the lines of what Einstein called an infantile disease, the measles of mankind.

Nationalism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huijui lugha ya mtanzania

Hamna lugha ya Mtanzania maana hamna kitu kiliumbwa kinachoitwa Mtanzania, mkoloni ndiye alikuja akachora chora mipaka na kugawa makabila kwa makundi kisha akasema wa huku waitwe watanzania na wa kule waitwe Wakenya. Hao watu waliopewa Utanzania na mkoloni walikua na lugha zao za asili na mila na desturi zao, mkoloni kawabaka na kawavuruga kila kitu, wengi wanaishi mjini kazi kuvaa milegezo hawajui hata salamu kwa lugha zao za asili.

Pia tumshukuru mkoloni wa Kiarabu aliyekuja akabuni Kiswahili baada ya kuchukua lugha fulani iliyokua inatumika na kabila la Wangozi hapa Kenya, akachomekea maneno mengi ya kiarabu kisha akaongeza na mengine ya kibantu hadi kikawa lugha, neno lenyewe Swahili ni la kiarabu, linatokana na neno "Sawahil". Japo tunamshukuru mkoloni wa Kiarabu, ila aliwabaka sana mababu zetu.

Hivyo Tanzania yote hamna mtu anayeweza kusema Kiswahili ndio lugha yake ya asili, wengi kwa mlivyo watumwa mlitelekeza lugha zenu zote, unakuta Msukuma anang'ang'ania eti Kiswahili ndio lugha yake ya asili. Halafu mpo kitumwa sana nyie, uandishi wenu wa Kiswahili chenyewe hutia kinyaa, hamzingatii ufasaha wake, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ndio hamjui chochote, maisha ya kiutumwa hayo, hamna hata lugha moja mnayoimudu.
Ndio maana huwa mumechelewa katika kila kitu.
 
Ongea porojo zote ila huku ndo nyumbani kwake mzee
 
Porojo ipi, wacha uvivu nenda kasome historia itakuweka huru, hapakua na hilo taifa unalojivunia kabla ujio wa mkoloni, ilibuniwa na mkoloni, yaani ile tu unajivunia huo utaifa, hapo tayari wewe mtumwa wa kikoloni, kwa kifupi hauna hadhi ya kuwaita wengine watumwa ilhali wewe upo ndani kwenye tope la utumwa.
Aliwakuta Wamaasai akawachorea mpaka bila kujali ndugu, na kuwagawa kwa misingi ya utaifa, kawafanyia vivyo hivyo Wanyasa na makabila yote yaliyo mipakani.
 
Kujivunia utaifa siku hizi ni utumwa wa kikoloni kumbe... Haya
 
Kuna mengi tunajivunia yaliyobuniwa na wazungu au waarabu na kuletwa kwetu, aidha ujivunie kimya kimya bila kuwaita wenzako watumwa kwa kujivunia kama wewe au ukubali sote tuu watumwa.
Kila kitu tunachokitumia au kufanya tumeridhi kutoka kwa wazungu na waarabu, kula kwa sahani na vijiko, mavazi na mitindo, mfumo wa elimu, mahakama, dini yaani kila kitu hadi tunavyochamba chooni, iwe kwa kuosha mqundu au kuchamba kwa tissue, vyote vyakuja, mababu zetu hawakua navyo.
 
Hehehe!! Nilijua hamtakawia, ila ndio hivyo, kilishawapiga chenga, sema kwenu huko wenye hela na wasomi walishashtuka kitambo, watoto wao hawasomi kwenye shule za makajamba wengine, wanafunzwa kingereza huko kwenye shule za maana, na walimu Wakenya na Waganda.
Bongo watu wenye pesa husomesha watoto wao Europe, America na south Africa. Maskini husoma ,ubongo , manzese na kwa mtogole slums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi tunajivunia yaliyobuniwa na wazungu au waarabu na kuletwa kwetu, aidha ujivunie kimya kimya bila kuwaita wenzako watumwa kwa kujivunia kama wewe au ukubali sote tuu watumwa.
Kila kitu tunachokitumia au kufanya tumeridhi kutoka kwa wazungu na waarabu, kula kwa sahani na vijiko, mavazi na mitindo, mfumo wa elimu, mahakama, dini yaani kila kitu hadi tunavyochamba chooni, iwe kwa kuosha mqundu au kuchamba kwa tissue, vyote vyakuja, mababu zetu hawakua navyo.
Kuna wakati inatakiwa mmbadilike tu kuendana na dunia ilivyo... Hauwezi kutembea nusu uchi kipindi hiki eti unaenzi utamaduni... Hata hao mnaowapigia magoti nao walikuwa hivyohivyo... Na usikariri kila kitu tumekopi kwao,hata wao kuna vitu wamekopi kutoka huku.
Ninyi huo utumwa wenu unaonekana waziwazi na wengi wanalitambua hilo sema tu nikuitetea nchi yako.
 
Hehehe!! Kweli umeishiwa hoja, wewe hapo kila kitu umeiga kuanzia utosini mpaka kwenye wayo, hadi mfumo wa maandishi humu ikiwemo alphabets vyote vya hawa, hata mfumo wa hela ambao naona mnalialia kuhusu Zitto kasababisha mnyimwe, vyote vyao.
Tatizo lenu kubwa ni uzembe na unafiki, mkishindwa kuiga chochote mnaanza kauli za "sizitaki mbichi", "sizitaki za wakoloni", wakati hapo mlipo mpaka mnavyonyea chooni vyote mumeiga.
 
Lakini wao hukomaa nacho hadi wanakimudu, hawakati tamaa na kuanza kukitukana eti cha mkoloni, kingereza ndio lugha ya dunia, kila mtu anapambana, hao Wachina hata Warusi wanakesha wakijifunza maana kufanikisha biashara zozote nje ya mipaka ya nchi ni vigumu bila kingereza.
Hata nyie hapo mumezungukwa na Wazambia, Wamalawi n.k. hamuwezi kuendana bila kutema yai, labda kwa wale wa mpakani ndio kidogo hujitutumua kuongea kiswahili.
Ni muhimu sana uwe na uwezo wa kuongea lugha kadhaa kama sisi, Kiswahili, Kingereza na pia lugha zetu za asili mbele kwa mbele.
Kwani na wewe unajua kuongea kiswahili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom