Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Kwani kenya hawana hizo mother tongue au hao wanaoongea vizuri na kuandika vizuri hawana mother rongue zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila we jamaa unajua kiswahili FASAHA kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakumaanisha kuongea kikabila bali kuongelea makabila kwamba unamuongelea mtu basing kwenye kabila lake, kiswahili hamjui
We naona ulidandia mada tu, kaa pembeni utulie..
Ukwel ni kwamba, mnawadharau wanaoongea kikabila mjini...sasa tuwaiteje, manake nyerere kawapoteza kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi wanaopata degrees za university hadi uprofesa (sayansi, uchumi, nk) - jee, hawa nao waone aibu kwa kuwa tu elimu ni ya wakoloni?

rais wetu TZ amewapa nafasi nyeti serekalini Drs, Professors, etc - jee, naye ni mtumwa wa kiakili?
aisee hivi huko shuleni huwa mnajifunza ujinga/....hata hujui taratibu ya mtu kua proffesor watu wamupatia china,urusi,cuba kwani huwa wanangalia lugha au umahiri wa eneo fulani
 
We naona ulidandia mada tu, kaa pembeni utulie..
Ukwel ni kwamba, mnawadharau wanaoongea kikabila mjini...sasa tuwaiteje, manake nyerere kawapoteza kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo unavyoshika ukikuyu wako hata unashindwa jichanganya na wenzio waona sifa...ngoja huko kibera mlete ethnic cleansing nyengine..tutakuja wapatanisha uchaguzi si ushakaribia
 
kwahiyo unavyoshika ukikuyu wako hata unashindwa jichanganya na wenzio waona sifa...ngoja huko kibera mlete ethnic cleansing nyengine..tutakuja wapatanisha uchaguzi si ushakaribia
Kwhyo mtu umdharau sio kisa anapiga kisukuma ajabu?kweli nyinyi watumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo mtu umdharau sio kisa anapiga kisukuma ajabu?kweli nyinyi watumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kaongee huo upupu USA,RUSIA,CHINA na kajiulize kwanini KISWAHILI ndo kinazungumzwa na watu wengi zaidi Africa na hadi umoja wa mataifa kama watakuelewa mwehu we mkibira hebu nenda kale chang'aa..kwanza wamombasa mnajua shikishwa ukuta tu na wasomali hamna jipya
 
Ukoloni mamboleo. Afrika tunahitaji kwanza kabisa ukombozi wa kifikra.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Wacha kudanganya watu hapa wewe, lugha inayotumiwa na watu wengi afrika ni kiarabu halafu ikifuatiwa na kingereza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…