Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wazee wa "sizitaki mbichi" mkishindwa na Kiingereza kwa mlivyo wazembe mnaanza kukitukana eti ni cha mkoloni, lakini wajanja wa lugha tumejua umuhimu wake na tunakitumia pakubwa katika kukuza uchumi wa nchi na kujiendeleza kila mmoja kwenye nafasi yake.

Mnaopenda kukitukana, unakuta huko kwenu wenye hela wamewapeleka watoto wao wakapate elimu kwenye shule za kimataifa, huko wanafunzwa na kuongea Kiingereza, maskini ndio wanasotea kwenye shule za saint kayumba wakiambiwa wakomae na Kiswahili eti ndio uzalendo na wasijifunze lugha yoyote nyingine, ila ikija kwenye soko la ajira, tangazo linaandikwa kwamba moja wapo wa vigezo ni lazima uwe na uwezo wa "kuzungumza na kuandika kwa Kiingereza". Watu wa ze ze ze wanaishia kuambulia patupu.

Rais wetu leo hii anashusha deals kali kali za kimataifa, hii imetokana na umahiri wake kwenye kujieleza kwa hii lugha, inampa kujiamini.

Leo hii hata Wachina, Warusi wote wanahangaika kujifunza Kiingereza.

Binafsi napenda sana Kiswahili na huwa nipo kwenye mstari wa mbele kwenye kukipigia debe, ila siwezi nikaganda kwenye lugha moja kama zezeta.

======
Kenya rated second best in English fluency test

Kenyans are the second most fluent English speakers in Africa, according to a ranking by global private language tutor, Education First (EF), a ranking which primes the country to attract foreign investment.

The English Proficiency Index (EPI) by the Switzerland-based company ranks Kenya behind South Africa even though
Nairobi still emerged as the highest placed African city. Globally, Kenya was placed at position 18 while South Africa came in sixth, followed by Nigeria (29) and Ethiopia at 63. The Netherlands is ranked top in competency level.

English, considered the global lingua franca of business, has been adopted in the world as a bridging language to lower transaction costs across borders.

The EF report links English proficiency to innovation, public investment in research and development, number of researchers per a population of one million as well as technicians per capita. According to the firm, countries with higher ranks in English language skills experience higher labour productivity and stand a higher chance of economic growth compared to others, as language skills help economies to remain competitive by removing the communication barrier.

“Although there is evidence that the pace of globalisation is slowing, international trade is a significant portion of the world economy, with exports making up around 20 percent of the world’s economic output. We consistently find a correlation between ease of doing business and a country’s English proficiency, as well as speaking English and a range of logistics-related indicators,” the report says.

The growth projected from efficiency in the language has also been tied to the services sector where communication is essential and also holds the larger share of economic activities.

“iPhones can be shipped anywhere, accountants cannot,” the report notes. “Language use is tied to a country’s service exports as well as the value added per worker in services. As the complexity and sophistication of economic exchange increases, so does the demand for linguistic competencies. A growing number of MBA programmes demand fluency in English and a second, sometimes third, language”.

The mastery of English has also been used as one measure of the level of skilled workforce in a country, with EF saying it could increase employability.

Source: Business Daily
 
Hivi hauoni aibu kujisifia umahiri wa kutumia lugha za wakoloni wako? Utumwa wa kiakili ni utumwa mbaya zaidi na huko Kenya mnahitaji ukombozi wa kiakili.

Hehehe!! Nilijua hamtakawia, ila ndio hivyo, kilishawapiga chenga, sema kwenu huko wenye hela na wasomi walishashtuka kitambo, watoto wao hawasomi kwenye shule za makajamba wengine, wanafunzwa kingereza huko kwenye shule za maana, na walimu Wakenya na Waganda.
 
Hakuna ubishi, hilo linafahamika.
Leo wakisema nchi zinazoongea kifaransa kwa umahiri, kutakua na list yake hivo hivo kwa kiarabu, kiswahili na lugha zote kubwa zinazozungumzwa na watu wengi.

Hoja yangu ni kwamba hamna aliyepinga kwamba kenya hawajui lugha ya malkia na sababu zinajulikana.
 
Kingereza ndio dili, hizo zingine tupa kule, Kiarabu cha nini labda kwa wanaokwenda kuajiriwa kazi za nyumbani kule Uarabuni.
Kingereza kinawatesa sana nyie hata mumeogopa kutoka mkisingizia kubana matumizi.
 
Kiuhalisia jamii zote ambazo english sio Native language huwa wana pata shida kwasababu ya kujifunzia lugha ukubwani, unaweza kuona wachina, wajapan wahindi pia huwa wanateseka sana ukiwakuta wanahangaika kujifunza lugha ya malkia.
 
Lakini wao hukomaa nacho hadi wanakimudu, hawakati tamaa na kuanza kukitukana eti cha mkoloni, kingereza ndio lugha ya dunia, kila mtu anapambana, hao Wachina hata Warusi wanakesha wakijifunza maana kufanikisha biashara zozote nje ya mipaka ya nchi ni vigumu bila kingereza.
Hata nyie hapo mumezungukwa na Wazambia, Wamalawi n.k. hamuwezi kuendana bila kutema yai, labda kwa wale wa mpakani ndio kidogo hujitutumua kuongea kiswahili.
Ni muhimu sana uwe na uwezo wa kuongea lugha kadhaa kama sisi, Kiswahili, Kingereza na pia lugha zetu za asili mbele kwa mbele.
 
Sasa si bora bongo ni wa kwanza kwenye umahiri wa kiswahili.

Huu mnyororo wa utumwa mlionao wakenya, hakika itawachukua muda sana kuuvunja, hence itachukua muda kumaliza ukabila nchini kwenu, kazaneni muwe wa kwanza kabisa, malkia atahamia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hauoni aibu kujisifia umahiri wa kutumia lugha za wakoloni wako? Utumwa wa kiakili ni utumwa mbaya zaidi na huko Kenya mnahitaji ukombozi wa kiakili.
Akili za watu wa saint kayumba hzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati ukienda kutafuta kazi unakuta eti lazima uwe unajua kuandika au kuongea kingereza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hkubwatu wa ze ze ze wakiambulia patupu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa jinga sana
Hicho kiingereza mbona hakijawatoa kwenye Njaa

Tukubari wana washinda Wachina kiingereza ila mchina kawapa Mitungi ya Chang'aa Na kiingereza chao
Hivi hauoni aibu kujisifia umahiri wa kutumia lugha za wakoloni wako? Utumwa wa kiakili ni utumwa mbaya zaidi na huko Kenya mnahitaji ukombozi wa kiakili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si bora bongo ni wa kwanza kwenye umahiri wa kiswahili.

Huu mnyororo wa utumwa mlionao wakenya, hakika itawachukua muda sana kuuvunja, hence itachukua muda kumaliza ukabila nchini kwenu, kazaneni muwe wa kwanza kabisa, malkia atahamia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn wewe ndio huna kabila, au ndio yale yale ya mwalimu akawapumbaza ili muache mila zenu kisa eti kuwaunganisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anagalieni matokeo yake sasa, amewatengenezea kabila moja kuu...yani mpka siku hizi mnaliabudu na kuwaabudu wanaoliongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za watu wa saint kayumba hzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati ukienda kutafuta kazi unakuta eti lazima uwe unajua kuandika au kuongea kingereza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hkubwatu wa ze ze ze wakiambulia patupu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, embu rudi ukaanze kusoma chekechea, nadhani haujabahatika kuelimika
 
Mtu anajisifia kujua Lugha ya Mkoloni wake, mkoloni wala hahitaji kujua Lugha yake, hii ni functional cognitive disorder,
Kenya inaaibisha sana Africa. Nimeona aibu mimi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majibu yako yapo kule juu, mkiona mnabanwa mnasema lugha ya mkoloni...

Hivi nyie msiojisifu na lugha ya mkoloni wenu, mnajua hata kujieleza kutumia kijerumani[emoji848]
Ila kw uvivu mlokua nao, sidhani km mnakijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom