Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunajituma hakuna cha kungoja makufuri atatafutie ajira ama atuandalie chakula mezani.kweli wakenya ni wabunifu sana,kuweka nyama ya paka kwenye sambusa??aiseee
MK254, post: 27544524, member: 142457kwa hiyo we mwanangu kwako nyama ya paka fresh yani??unatafuna??
😀😀😀 Imagine! Nyaaauuu!!! Lakini majirani bana mjifunze kukaushaga! [emoji23]kweli wakenya ni wabunifu sana,kuweka nyama ya paka kwenye sambusa??aiseee
MK254, post: 27553483, member: 142457ukiweza kula nyama ya paka,ina maana hata ya panya unaweza kula..!!dah wakenya,salute!!Nakuuliza nyama ya samaki unayokula mbona fresh kwako, haya mambo ni jinsi unavyojiaminisha, nenda kwa Wachina hata konokono wanamktia kwenye mikate kama siagi.....hehehehe mtakoma nyie.
Haha! Kwanza nikiweza muwahi fuko mimi!, walahi namla choma kwa kachumbari .MK254, post: 27553483, member: 142457ukiweza kula nyama ya paka,ina maana hata ya panya unaweza kula..!!dah wakenya,salute!!