Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Elewa context ya hilo bango. Bango hilo haliwezi kuwa limepostiwa hapa Kenya. Haliwezi kuwa limepostiwa Uganda wala Rwanda. Watanzania jambo moja ambalo hamjui ni kwamba kiswahili chenu ni tofauti sana na ya Kenya.Kwa hiyo ikipostiwa mara nyingi hapa JF na MK254 akiizungumzia, then it's already justified to be coming from the credible source. Bichwa lako litakuwa na hitilafu 🤣😂🤣.
Jibu swali: umejuaje kama hapo ni Dar?
Nikisoma hilo bango sihitaji kuwa na degree ya rocket science kujua kwamba kile Kiswahili ni cha Tanzania. Halafu huku Kenya hatutafuti Walimu kwa mabango.