chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Hahahaaaaa kweli kuachwa kubaya sana unaweza hata kuchanganyikiwa sasa feasibility study ilikua imeshafanyika muda mrefu na feasibility report ilikua imeshatoka muda mrefu hata kabla Kenyatta hajaanza kuzurura Total HQ Paris kutafuta muarobaini wa kujengewa Kenya.Sizitaki mbichi kivipi, mbona huwa mna uzito wa kuelewa chochote. Mimi nimekupa darasa kwamba biashara za kimataifa hazina cha undugu au fadhila bali maslahi, sasa hapo nini usichokielewa. Hamna cha undugu na Uganda au hizo pumba za ujamaa za watu kuishi wakitegemeana.
Bomba tulilipoteza kwa sababu mwekezaji Total alipiga mahesabu na maslahi yake. Hivyo hapakua na jinsi ila kuachia maana yeye ndiye mwenye hela, sio Kenya, sio Tanzania wala Uganda, yeye ndiye mwenye mahesabu. Tulichokua tunafanya ni kujaribu kumshawishi kibiashara na Kisayansi bila kufuata mambo ya undugu au fadhila.
Yeye alipopiga hayo mahesabu, yakaegemea upande wa Tanzania, simple science hamna cha undugu, narudia hilo. Hayo mambo ya ujamaa yawatoke, ulimwengu wa sasa hauna hayo mambo. Mlizungushwa na huo ujamaa hadi mkawa na kiherehere cha kufuata ugomvi wa nchi za Afrika Kusini na Uganda, leo hii mpo maskini kwa ajili yake. Hamkujufunza kitu, bado mnafuata fuata mambo ya ukaka na udada.
Ina maana hakuzingatia report na upembuzi yakinifu kazi ya Total ilikua ni kuishauri Uganda government kuhusu route nzuri swala la ipite wapi hilo lilikua la Museveni himself thanks to Museveni remembered the redemption of his country Tanzania fought for Museveni got his higher education in Tanzania, Tanzania had powered Museveni with military service to get in regiment and many more we did for Uganda moreover Magufuli accountability.
Nyamaza kama hauijui mausiano yetu na Uganda.