Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??
Madeni kibao
Gharama kubwa za maisha
Ugumu wa maisha ulopitiliza
Nchi iliyokwisha matumaini
Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali
Nchi ya hovyo kuwahi kutokea
Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa
Huwa mnachekesha sana wakenya
Dada sijui kaka sijui jinsia yako lakini umeongea true facts.
Na wala hujakosea.
Kenya bhana ni nchi ambayo wanajisifu wana sarafu imara,GDP per capita kubwa,GDP PPP Kubwa na maghorofa makubwa na marefu miundombinu mingi tu ya kutosha.
Lakini kiuhalisia Kenya wananchi wake wana maisha magumu sana.
Nimepitia comments za humu naona wakenya wanajifariji kwa past news mauaji ya albino hzo ni past news toka miaka sita sasa imepita.
Na kuna mbulula mmoja anasema eti uchumi wa Tz umechagizwa na wawekezaji wa Kenya akome uongo sijui anaitwa Bwana 254??
Kenya bhana ina matatizo yafuatayo licha ya kujisifia kuwa na GDP kubwa uchumi imara;
1)Umiliki wa ardhi kenya sio ridhishi wachache sana wamilikao ardhi wengi wamepanga.
2)Gap kat ya walonacho na wasionacho ni kubwa sana.Maskin wa Kenya anatapatapa kama fukara wa Tz kwasababu ya ukubwa wa sarafu yao na mfumuko wa bei za bidhaa.Tz maskin wa tz ana uwezo wa kuishi chin ya dola moja na akapata mahitaji stahik japo sio kwa 100% ila kwa Kenya ni vigumu.Ndio maana ht maskin wa tz anapoishi huwez linganisha na wakenya.Maskin wa Tz huwa wanaishi sana uswazi wenyewe twapaita mathalan Manzese,Tandale,Temeke,Kiwalani,Kinondoni ila ktk sehem hz za watu wa maisha ya chin wa Tz nyumba zao ridhishi japo ordinary house,zina vyoo vizuri,madirisha, na mandhari nzuri tu.Ila maskin wa kenya anapoishi anasikitisha mathalan kariobangi slums nyumba za mabati,vyoo vinafurika na kutapakaa mavi,madampo karibia na maisha ya watu hususan had mizoga ya mbwa na nguruwe unaikuta.
Watu zaidi ya 1k wanachangia choo kimoja.Haya ndio maisha ya maskin wa kenya.
3)Kenya licha ya majigambo Yao miradi mikubwa ya kiuchumi hawawez kui finance ht kwa shinkumi ya kenya wao ni kukopa tu.
4)Watu wengi kenya hujiua kwa ugumu wa maisha na hilo limekua ni tatzo kubwa Kenya ikifuatiwa na sababu za kimapenzi.
5)Ajira ni ngumu sana kenya kubwa zaidi WAMESITISHA KUTOA AJIRA SERIKALINI KWA MUDA WA MIAKA MITATU.EMBU FIKIRIA HILI LITAATHIRI RAIA KWA KIASI GANI??KAMA TU UPUNGUFU WA AJIRA UMEFANYA WANACHUO WAHITIMU KUJIUA JE UKOSEFU WA AJIRA KWA MIAKA MITATU UTAWAFANYAJE???
6)Ukabila unaimaliza Kenya hadi serikalini kalenjin hawez kumpa ajira mkisii hii ni shida.
7)Ufisadi unaimaliza Kenya watu wanasiasa wachache na makabila yaliyoshika nchi ndio yananufaika na rasilimali za Nchi ilhali wengi wao wanataabika.
8)Kenya wana fail projects nyingi mathalan kuna daraja walilijenga la $ 20 millions ni km limejengwa na matope yan baya halafu limevunjika,Kilimo cha umwagiliaji na BRT.
9)Kenya ni nchi pekee haina vita ila ina njaa mpk dunian wanaitambua na ni taifa moja WaPo linalopokea misaada ya chakula toka UN hii ni aibu kwa nchi inayojisifia iko stable kiuchumi.Ukizingatia wana kikuyu lands zenye rutuba za kutosha wakaachia wazungu walimie maua ya rose wakauze kwao.
10)Kenya ndio nchi pekee maaninnaa kutembeleana nyumban mpk uweke appointment usipoweka rudi ulipotoka.Ilhali Tz hata uje ghafla mchele nusu kilo ama sembe nusu kilo itaongezwa halafu mgeni utakula na kushiba.
11)Kenya ni nchi ambayo ustaarabu haina kabbisa haina hata kuongea kwa ukarimu hawawezi hawana ustaarabu na kuna jamaa mkenya alikujaga Tz mshikaji ni mfanyabiashara anakwambia Kenya habari za ujamaa km hz za Tz sijui huyu kapika ugali mm nimepika mbuga mm namkatia ugali yeye ananichotea mboga hakuna.Chako chako changu changu.Hata ile habari ya sijui naenda kuelewa na shangaz mjomba noop.
Hapa wakenya nahitaji uswadikishaji hapa, hiv ni kweli na kama kweli kwann mpo hivi???
Tanzania nakubali uchumi wetu upo chini, miundombinu yetu bado ndio inakua japo nampongeza rais inakua kwa kasi ya Chinese 5G.
Ila raha ya Tz Umiliki wa ardhi ni jambo jepesi,kujenga ni jambo jepesi had muuza dagaa anajenga,gap la walonacho na wasonacho ni dogo sana yan raia wa Tz ana asilimia kubwa ya kufurahia maisha kwa unafuu wa maisha uliopo Tz.
Tuifurahie nchi yetu jamani haina ukabila haina ubaguz wa namna yeyote km Kenya.
Tuisifie Tz tuna maisha mazuri japo hatuna miundombinu km hawa jamaa.
Hawa jamaa Nairobi is Kenya yan hao kaz kujenga miji iwanufaishe mabwanyenye lakni wananchi maisha magumu.
Kingine Tz watu huchanganyika yan walonacho na wasonacho huchanganyika hakuna matabaka hili limefanya Tz kuwe na miji isiopangika lakini hakuna slums km kenya.
Nyumba nzuri zinavutia walaw hazijajipanga ila zinaridhisha binadam kuishi sio km kibera ama kariobangi slums WALLAH KUNA BRO ANAITWA MGAAGAA NA UPWA ALILETA PIC ZAKE NILIKUA NAVUTA BANGH YANGU STIM ZIKAKATA NILITAPIKA.
Panasikitisha aisee.
Wakenya tabia ya kujisifia acheni embu rekebisheni life standards kwanza majengo mazuri,mabarabara, hayo hayawalishi wafa njaa huko Wajir na Turkana nzima na haiwaokoi watu wa kibera na ukabila wacheni.
Halafu wacheni kujifariji kwa past news wakenya.
Hususan masuala ya ombaomba na masuala ya albino yalishapitaga.
Ila ninyi usitishaji wa ajira kwa miaka mitatu,njaa na ukabila na ufisadi vinawatafuna kwa sasa na msipoangalia vitawamaliza.