joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya wamesoma, lakini hawajaelimika!! Wangekuwa wameelimika. Wasingeendekeza ukabila!!Wakenya ni wasomi lakin ujinga unaohusu UKABILA sijui utawaisha lini,,, Watu weusi tii kama mkaa lakin wanajengena mipaka.
Aya Ni mambo baadhi yanayotufukarisha na kujenga ubaguzinwa sisi kwa sisi ni ukabila na dini
Kenya everything is converted into tribalism, stupid country indeedHii maneno imechukua tribal dimension
Wewe ni Msukuma kwanza kabla hujawa Mtanzania
Watanzania tunajidanganya na huu unafiki
Eti mimi Mtanzania sio mtu mwingine
What a stupid lie
Umezaliwa na umelelewa Usukumani huko,kabla hata hujajua hii dunia unajua nyumba yenu then kijiji,then tarafa then wilaya then mkoa baadae ukiwa mtu mzima ndio unajua hii ni Tanzania
Tunarudi pale pale,sisi Watanzania ni wanafiki,tunaongea vitu vya uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni Msukuma kwanza kabla hujawa Mtanzania
Watanzania tunajidanganya na huu unafiki
Eti mimi Mtanzania sio mtu mwingine
What a stupid lie
Umezaliwa na umelelewa Usukumani huko,kabla hata hujajua hii dunia unajua nyumba yenu then kijiji,then tarafa then wilaya then mkoa baadae ukiwa mtu mzima ndio unajua hii ni Tanzania
Tunarudi pale pale,sisi Watanzania ni wanafiki,tunaongea vitu vya uongo
Tatizo lako ni uelewa finyu wa mambo, tofautisha kati ya "kabila vs Ukabila"Wewe ni Msukuma kwanza kabla hujawa Mtanzania
Watanzania tunajidanganya na huu unafiki
Eti mimi Mtanzania sio mtu mwingine
What a stupid lie
Umezaliwa na umelelewa Usukumani huko,kabla hata hujajua hii dunia unajua nyumba yenu then kijiji,then tarafa then wilaya then mkoa baadae ukiwa mtu mzima ndio unajua hii ni Tanzania
Tunarudi pale pale,sisi Watanzania ni wanafiki,tunaongea vitu vya uongo
Hili jamaa si ndio lile tulikubaliana kulipuuza!Well,thats your opinion just like mine
Its interesting Watanzania tumejaa unafiki na denial kiasi hiki
Magonjwa tunakataa,kila kitu tunakataa
Wewe umezaliwa kwenye Chagga house and family...kijiji ulichokulia ni Wachagga
Eti ulivyo mnafiki,eti leo unakana wewe kwanza hukua Mchagga,hujawahi kua Mchagga,wewe ni directly Mswahili hujawahi pitia Uchagga
Manafiki matupu!
Asante kwa kutukumusha, ngoja tuachane naloHili jamaa si ndio lile tulikubaliana kulipuuza!
Huwaga ni li fara, sijui linafananaje.Hili jamaa si ndio lile tulikubaliana kulipuuza!
Huyo jamaa ni mkenya. Tulishakubaliana kulipuuza hilo ni jehu.Huwaga ni li fara, sijui linafananaje.
Wasukuma wamebadilisha taifa limekuwa utawala wa kisukumaWewe ni Msukuma kwanza kabla hujawa Mtanzania
Watanzania tunajidanganya na huu unafiki
Eti mimi Mtanzania sio mtu mwingine
What a stupid lie
Umezaliwa na umelelewa Usukumani huko,kabla hata hujajua hii dunia unajua nyumba yenu then kijiji,then tarafa then wilaya then mkoa baadae ukiwa mtu mzima ndio unajua hii ni Tanzania
Tunarudi pale pale,sisi Watanzania ni wanafiki,tunaongea vitu vya uongo
Wafagie nyumbani kwanza kabla ya kuchunguza ya jirani.First remove the speck in your own eyes before judging ua brother tuelewaneNdio shida hii
Kwavile Msukuma ana madaraka kwenye hili taifa kwa lazima anasukumiza usukuma kwenye makoo yetu kwa lazima
Kwa lazima jamaa ka-sukumize the whole nation
Huu ndio classic udikteta wa ukabila
Waache watu na makabila yao na wewe baki na lako
Tukifika kwenye mambo ya taifa au federal government tumekubaliana tutumie English na Kiswahili kuwasiliana na kujiendesha
Kila mtu awe huru na kabila na utamaduni wake,hii ku-criminalize origins za watu na kuwavisha Uswahili ambao ni utamaduni wa Pwani kwa lazima au Usukuma unavyolazimishwa kwa sasa,ni kosa na upumbavu
I really hate it when watu wanajitahidi kuua makabila ya watu wengine kwa namna hii,kabila la mtu na utamaduni wake sio jinai ni urithi wake,tuache upumbavu!
Fact mkuu,,, Aya mambo ya ukabila yanaua sana umoja, ata kupata ajira kenya kuna baadhi ya makabila wanapata sana shida aseeeeWakenya wamesoma, lakini hawajaelimika!! Wangekuwa wameelimika. Wasingeendekeza ukabila!!
Sasa unataka kulialia nini!?Ndio shida hii