Kenya ni ukabila, ukabila ni Kenya haviwezi kutenganishwa, Wakamba wamkingia kifua Sonko

Wakenya ni wasomi lakin ujinga unaohusu UKABILA sijui utawaisha lini,,, Watu weusi tii kama mkaa lakin wanajengena mipaka.

Aya Ni mambo baadhi yanayotufukarisha na kujenga ubaguzinwa sisi kwa sisi ni ukabila na dini
 
Wakenya ni wasomi lakin ujinga unaohusu UKABILA sijui utawaisha lini,,, Watu weusi tii kama mkaa lakin wanajengena mipaka.

Aya Ni mambo baadhi yanayotufukarisha na kujenga ubaguzinwa sisi kwa sisi ni ukabila na dini
Wakenya wamesoma, lakini hawajaelimika!! Wangekuwa wameelimika. Wasingeendekeza ukabila!!
 

Sehemu kubwa ya waTanzania sasa hivi wamelelewa mbali kabisa na makuzi ya kikabila, karibia wote wamelelewa na desturi za Kiswahili na ndio maana tunajiita waTanzania.

Toka asubuhi mpaka jioni hamna mahali kabila langu limenisaidia. Kuwa mkurya au mhaya hakuna lolote ambalo nalipata kwa kuwa hayo makabila.. nikienda kupata huduma yoyote naipata kwa sababu ya utaifa wangu na sio kabila langu..

So ndio mimi ni mtanzania.
 

Labda wewe ndiyo mnafiki.
 
Tatizo lako ni uelewa finyu wa mambo, tofautisha kati ya "kabila vs Ukabila"
 
Hili jamaa si ndio lile tulikubaliana kulipuuza!
 
Wasukuma wamebadilisha taifa limekuwa utawala wa kisukuma
 
Wafagie nyumbani kwanza kabla ya kuchunguza ya jirani.First remove the speck in your own eyes before judging ua brother tuelewane
 
Wakenya wamesoma, lakini hawajaelimika!! Wangekuwa wameelimika. Wasingeendekeza ukabila!!
Fact mkuu,,, Aya mambo ya ukabila yanaua sana umoja, ata kupata ajira kenya kuna baadhi ya makabila wanapata sana shida aseeee
 
Sasa unataka kulialia nini!?
20% population ya watanzania ni wasuluma and 16% ni Wanyamwezi.
Sukuma and Nyamwezi are interrelated tribes.
So 36% ni interrelated tribes.

Do you know the meaning of Sukuma!? Maana yake ni kaskazini. Kwahiyo Sukuma tribe ni kama Swahili ni mchamganyiko mwa makabila mengi.
1. Haya, Masai, Kurya, Jita, waha, Nyiramba, Gogo, Tutsi, Hutu nk.
Sasa we we hujui hata historia ya Tanzania unabweka bweka hovyo kwenye mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…