Kenya ni ukabila, ukabila ni Kenya haviwezi kutenganishwa, Wakamba wamkingia kifua Sonko

Kinachitusaidia watanzania kutokuwa na ukabika ni kwa sababu tuna makabila mengi na mengi yao yana watu wengi. Kinachowamamiza Kenya ni kuwa makabila yaliyo dominate ni machache kwa hyo hao ndo wanapambana
 
Yamekuwa hayo!!!
 
Mkuu achana nalo utalipa umaarafu lisilostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…