You are damn right! I will be surprised to see him in heaven! For all those who knew him and what he did to other people, they share my thoughtsAnd you will be surprised to see him in Heaven. Usiwe mwepesi Kuhukumu.
Teh teh teh [emoji1] [emoji1] kaishi kama digi digi,khaa!! Maisha gani ya kuzuka na kusepa.Huyu ndiye mmoja wa watu waliokosea mtazamo kuhusu maisha ya maana wakafikiri pesa ndio kila kitu duniani. Ameishi maisha ya "shida" sana. With his billions, he lived in constant fear of assassination! Mtu hata kinywaji chake inabidi mtu mwingine afungue chupa na kupiga mkupuo ndipo yeye aendelee. Ratiba ya nyendo zake ikiwa ni pamoja na ya kukaa na kulala katika nyumba zake hata wake zake hawaijui. Unaambia anazukia popote na kuondoka saa yoyote hata katikati ya msosi. Safari za mjini anatembelea magari zaidi ya matano akiwa na security contingent isiyo ya kawaida.
Nikiwaambia baadhi ya marafiki zangu kuwa raha ya pesa hutegemea umeitafutaje na kuipataje, wengine hawaelewi. Watu kama akina Bill Gates, Mark Zuckenberg, homa waliyonayo ni jinsi ya kupanga matumizi sahihi ya misaada lakini hawana taabu kama ya akina Biwott wa dunia hii. AU kama watani zangu Wakinga wanaodaiwa kupewa sharti la kulala sakafuni bila godoro maisha yote kwenye kasri la kifalme huku nje Vogue na Porsche yamepaki kwa utulivu 😀.
Philanthropist halafu anaomba kuzikwa kwenye bullet proof coffin?Nicholas Kipyator Kiprono arap Biwott (1940 – 11 July 2017) was a Kenyan businessman, politician and philanthropist. Biwott served as a civil servant, Member of Parliament and government minister, during which time he held eight senior ministerial positions during the presidency of Daniel arap Moi.
Nicholas Biwott - Wikipedia
Utaweka au umeshaweka huo wosia? Unasubiri nini aseeh kuuweka huo wosiaMimi ni mkatoliki lakini nitaweka wosia kwamba nikifa nizikwe bila jeneza ili mwili wangu ukutane ardhini ." Wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi lakini bwana atakufufua siku ya mwisho"
maisha ya mtu,
Alikuwa ameoa mzungu.Lakini mbona nimeona mpaka wazungu wanamlilia? Je ni watoto wake? Wakenya Hebu dadavueni habari ya mtu huyo na sisi tujue mazuri na mabaya yake? Maana sio Kwa kilio kile nimeona wazungu wakimlilia mtu mweusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicholas Biwott Was Not A Good Man - Owaahh
It's quite a long read, but it reveals what a reprobate this Biwott guys was. And his death shouldnt cleanse him of his past sins.....
Hamia huku huna haja ya kuacha usia !Mimi ni mkatoliki lakini nitaweka wosia kwamba nikifa nizikwe bila jeneza ili mwili wangu ukutane ardhini ." Wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi lakini bwana atakufufua siku ya mwisho"
Kama mtaikubali biblia, mtamuehimu Mama maria kwenye ibada zenu na kufuata litruge inayoeleweka, mtaweka viti,mtaweka msalaba basi mbio mbio nitajileta kwenu
Mama Maria ana chapter (surat) nzima inayomuelezea yeye na mwanae Yesu. Ibada yetu ni mila ya Manabii walikuwa wakiyafanya.Kama mtaikubali biblia, mtamuehimu Mama maria kwenye ibada zenu na kufuata litruge inayoeleweka, mtaweka viti,mtaweka msalaba basi mbio mbio nitajileta kwenu