KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

KENYA: Nicholas Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies

Na wajinga zaidi waliohai na kutekeleza huo upuuuuuzi.

fail to plan = plan to fail.
 
Huyo mtu alikua na cheo gn huko Kenya au biashara gani kubwa jujulisheni jamani naona anasomewa misa namwona na kikwete huko lakini sisi hatujui najaribu kusoma coment za wachangiaji humu naona kama wanamlaani tu tunaomba mtupe historia yake kidogo na sisi tujue. Jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye mmoja wa watu waliokosea mtazamo kuhusu maisha ya maana wakafikiri pesa ndio kila kitu duniani. Ameishi maisha ya "shida" sana. With his billions, he lived in constant fear of assassination! Mtu hata kinywaji chake inabidi mtu mwingine afungue chupa na kupiga mkupuo ndipo yeye aendelee. Ratiba ya nyendo zake ikiwa ni pamoja na ya kukaa na kulala katika nyumba zake hata wake zake hawaijui. Unaambia anazukia popote na kuondoka saa yoyote hata katikati ya msosi. Safari za mjini anatembelea magari zaidi ya matano akiwa na security contingent isiyo ya kawaida.

Nikiwaambia baadhi ya marafiki zangu kuwa raha ya pesa hutegemea umeitafutaje na kuipataje, wengine hawaelewi. Watu kama akina Bill Gates, Mark Zuckenberg, homa waliyonayo ni jinsi ya kupanga matumizi sahihi ya misaada lakini hawana taabu kama ya akina Biwott wa dunia hii. AU kama watani zangu Wakinga wanaodaiwa kupewa sharti la kulala sakafuni bila godoro maisha yote kwenye kasri la kifalme huku nje Vogue na Porsche yamepaki kwa utulivu 😀.
Teh teh teh [emoji1] [emoji1] kaishi kama digi digi,khaa!! Maisha gani ya kuzuka na kusepa.

Ila mwenye full story za uyu mzee atuelezee au ndio tunambiwa alikuwa na secretive life.

Maisha yake ata el chapo cha mtoto, tuwakaribishe Hollywood watutengeneze movie ya Biwott .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicholas Kipyator Kiprono arap Biwott (1940 – 11 July 2017) was a Kenyan businessman, politician and philanthropist. Biwott served as a civil servant, Member of Parliament and government minister, during which time he held eight senior ministerial positions during the presidency of Daniel arap Moi.
Nicholas Biwott - Wikipedia
Philanthropist halafu anaomba kuzikwa kwenye bullet proof coffin?





A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mimi ni mkatoliki lakini nitaweka wosia kwamba nikifa nizikwe bila jeneza ili mwili wangu ukutane ardhini ." Wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi lakini bwana atakufufua siku ya mwisho"
Utaweka au umeshaweka huo wosia? Unasubiri nini aseeh kuuweka huo wosia

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Lakini mbona nimeona mpaka wazungu wanamlilia? Je ni watoto wake? Wakenya Hebu dadavueni habari ya mtu huyo na sisi tujue mazuri na mabaya yake? Maana sio Kwa kilio kile nimeona wazungu wakimlilia mtu mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicholas Biwott Was Not A Good Man - Owaahh

It's quite a long read, but it reveals what a reprobate this Biwott guys was. And his death shouldnt cleanse him of his past sins.....

useless, if they bury him nakedly or using a gold shit..god does not give a https://jamii.app/JFUserGuide!!!! I'm sure 100% people like him goes straight to HELL cause he was a KAFFIR (christian)...
 
Pesa imeshindwa kumnunua 'bodyguard' Wa kuzikwa naye..

..kaambulia 'bulletproof coffin' ambayo italindwa daima,kwa kivuli chake


smile and silence
 
Kama mtaikubali biblia, mtamuehimu Mama maria kwenye ibada zenu na kufuata litruge inayoeleweka, mtaweka viti,mtaweka msalaba basi mbio mbio nitajileta kwenu
Mama Maria ana chapter (surat) nzima inayomuelezea yeye na mwanae Yesu. Ibada yetu ni mila ya Manabii walikuwa wakiyafanya.
 
Back
Top Bottom