Kenya, Nigeria and Moroccan banks dominate Africa awards shortlist.No Tanzanian Bank Shortlisted

wikipedia

,,The history of Kenya Commercial Bank Limited dates back to July 1896, when its predecessor, the National Bank of India (NBI), opened a branch in Mombasa to handle the business that the port was attracting at that time," ...

That's HISTORY! Who owns and runs it now? Don't tell us of its predecessors! Hata wewe uko na ancestors!
 
Lkn ancestors wangu siyo Muzungu, isitoshe point yangu ni kwamba KCB ina miaka zaidi 100 ya Kibenki hivyo ni sawa kufanikwa ikilinganishwa na Benki za TZ yetu ambazo zimeanzishwa kwenye miaka ya 70' tena wakati wa ujamaa, Benki kubwa ya kwanza Tanzania yetu kama NMB au CRDB tulizianzisha miaka ya 70` hata miaka 50 bado, hivyo huwezi kulinganisha na KCB ambayo ina miaka zaidi ya 100, lkn gap linafunga!
 
Kwani Tz mlikua mnafanya nini kabla ya "kuvaamiwa" na ujamaa? Hii inaonyesha ujamaa ni kizingizio cha nyinyi kulalia masikio.
 
No Tanzanian bank shortlisted??? You have forgotten to edit National Bank of Commerce on the equity deals category. Its a Tanzanian bank by the way. Sema kingine.
 
Kwani Tz mlikua mnafanya nini kabla ya "kuvaamiwa" na ujamaa? Hii inaonyesha ujamaa ni kizingizio cha nyinyi kulalia masikio.

Ukoloni wa Kizungu. Nchi nyingi za Kijamaa ziko nyuma kiuchumi ikilinganisha na nchi za kibepari kwa maana Ujamaa hauruhusu utajiri au kumiliki mali kwa watu binafsi!
 
Ukuona NBC LTd au ndio kila kitu kibaya Tz... Penda cha kwako
 
Attachments

  • wp_ss_20180504_0003.png
    wp_ss_20180504_0003.png
    27.8 KB · Views: 20
In the future CRDB will shake Africa in terms of Service na extension katika Nchi za Africa mashariki

Now ,we are in Rwanda tuna panuka ni suala la Muda tu
Hehhehehee ni chizi anaweza kukuelewa sio watu wenye akili.... Secretly people know what is inside crdb plc no need to talk
 
KCB profits alone is double the profit of all Tanzanian banks combine...if not triple
 
Lkn ancestors wangu siyo Muzungu, isitoshe point yangu ni kwamba KCB ina miaka zaidi 100 ya Kibenki hivyo ni sawa kufanikwa ikilinganishwa na Benki za TZ yetu ambazo zimeanzishwa kwenye miaka ya 70' tena wakati wa ujamaa, Benki kubwa ya kwanza Tanzania yetu kama NMB au CRDB tulizianzisha miaka ya 70` hata miaka 50 bado, hivyo huwezi kulinganisha na KCB ambayo ina miaka zaidi ya 100, lkn gap linafunga!
Sababu za kivivu hizo... Kama south Korea wakati huo ilikua nchi maskini na sasa ni top 15 duniani, wewe hauwezi ukalalamikia muda.
Equity bank ilianzishwa 1984 Kama corperstion ya kuhudumia wakulima na watu maskini, Leo hii Equity iko karibu kuipita hio KCB bank Kwa ukubwa wa assets... Tayari Equity ndo biggest bank in Africa by customers ikiwa inahudumia Zaidi ya 12 million! Kwahivyo haijalishi ulianza lini, Kama uko na bidii,umaarufu na uongozi mzuri, kampuni youlyote inaweza kufulika mbali. Kwa mfano, Kuna kuna kampuni nyingi sana hapa EA ziliamzishwa kitambo sana lakini Safaricom ilianza 1997 na Leo hii ni biggest campany in east and central Africa ikiwa na value ya $12B. Ni miaka 21 tu na ilifanyikiwa kupita kampuni zote nyingine
 
Do you know who are the biggest customers to kenyan banks? - Treasury
Do you know who are the biggest customers to Tz banks?- Private sector
Before shouting loud here that kenyan banks are big and make super profits, understand the basics, you might be indirectly shouting how poor and inflation laden the kenyan economy is.
 
Tz private sector is no match for Kenyan private sector so tupilia huo ujinga kando.

2. Private sectore does not equal people.
 
Tz private sector is no match for Kenyan private sector so tupilia huo ujinga kando
Ofcourse, banks, insuarance companies with exception of safaricom are the biggest stakeholders of private sector but do you know why they are that huge yet credit uptake by private sector is at all time low? who is this "big" client they have?
 
In the future CRDB will shake Africa in terms of Service na extension katika Nchi za Africa mashariki

Now ,we are in Rwanda tuna panuka ni suala la Muda tu
Dreams arw valid tho,sijui kama mtawaipata Kcb anywhere
 
Do you know who are the biggest customers to kenyan banks? - Treasury
Do you know who are the biggest customers to Tz banks?- Private sector
Before shouting loud here that kenyan banks are big and make super profits, understand the basics, you might be indirectly shouting how poor and inflation laden the kenyan economy is.
Ofcourse, banks, insuarance companies with exception of safaricom are the biggest stakeholders of private sector but do you know why they are that huge yet credit uptake by private sector is at all time low? who is this "big" client they have?

Even if private sector credit is low, it's low from Kenya's perspective... But when you start to use Tz as a baseline, that's when you become a comedian....

Domestic credit to private sector (% of GDP) | Data

Deapite the huge domestic debts taken by GoK, credit from local financial institutions to private sector represents roughly 33% of GDP of Kenya. This is still low compared to the recommended % ...

But in Tz credit to private sector is a mere 15% of GDP... So Kenya's credit is actually more than double that of Tz %-wise, considering that Kenya GDP is like 30% bigger than Tz, the actual $ value of credit to private sector could actually be 3 times bigger than Tz
Therefore whatever you are trying to insinuate is worse in Tz than it is in KE even despite Kenya's huge borrowing!

wp_ss_20180505_0007.png
wp_ss_20180505_0006.png

Mind you, Tz borrows way more externally than internally and still private sector gets Nada! Goes to show how small their banks are
 
View attachment 766767 View attachment 766768

Mind you, Tz borrows way more externally than internally and still private sector gets Nada! Goes to show how small their banks are
Am not desputing the facts that
1) Kenya private sector is larger than Tz
2) Tz borrows more externaly than kenya
3)Tz banks dont make as much super profits as kenyan banks
what am telling you is
1)Kenya's private sector is dominated by financial institutions like banks, insuarance companies with exception of safaricom
2)The loan books of these institutions is dominated by Gok via treasury not manufacturing companies or individual citizens taking commercial loans for business or morgages
3)Kenya borrows much more both internally and externally than Tz
The effects are:
1)Borrowing internally causes inflation, which causes low consumption and low credit uptake by citizens/businesses as banks prefer the ever hungry and low defalt risk GoK. Inflation causes Joblesness
2)External borrowing by kenya is very expensive and since kenya is a net importer it is stuck to loans to finance its budget.
3)Tz is a net exporter, it borrows cheap WB loans which kenya cannot qualify for.
4)Tz banks grow slowly according to their private sector growth not like kenya where banks are superficially grown and profited by an ever broke GoK, which is actually handing over taxpayer monies to banks
 
Back
Top Bottom