Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
majuzi kuna waziri hapa alionyesha vifungu vya sheria, viansema kushiriki vitendo hivyo adhabu ni 30 years. Ni sheria ipo but haitajwi sanaMkuu ChoiceVariable hapa Tanzania kuna mtu anayeweza hata kuthubutu kupeleka muswada wa kupinga ushoga bungeni kama ilivyofanyika Uganda?