Ni kweli, Magufuli either anajua or hajui, anapractice udikteta mamboleo (neo dictatorship), hawa hawana shida sana, sababu huwa na uzalendo usiotiliwa shaka na huhangaika kuleta maendeleo nchini mwake, lakini hawapendi kuhojiwa hojiwa kwa namna yeyote ile. To hell with that, nobody's perfect.
VivaMagufuli
huyo mama balaa kabisa, binafsi siwezi thubutu kukaa na mama aina huyu ndani ya nyumba moja, litakuwa vita vya kila dakikaHii video imenifurahisha sana aisee.....ingekuwa bongo huyo mama angekuwa maiti saivi