Kenya now the only democratic country in East Africa

Kenya now the only democratic country in East Africa

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
You thought Tanzania and Kenya were the only democratic countries in East Africa? Think again!
The UN has just affirmed Kenya the ONLY democracy in EA, Tanzania being classed an anocracy.
An anocracy is defined as a country that
  • mixes democracy with dictatorial/autocratic tendencies
  • Restricted media
  • Regular elections, but often not free or fair or both
Capture.PNG
 
Ukweli 100% tumerudi nyuma kwa democracy kwa miaka 50
 
Tanzania ni aibu kwenye suala la democracy tofauti yetu na Zimbabwe sisi unatumika mfumo wa chama kujifanya kina hatimiliki ya nchi hii nchi ni mali yetu wote
 
Hii video imenifurahisha sana aisee.....ingekuwa bongo huyo mama angekuwa maiti saivi
 

Attachments

Ni kweli, Magufuli either anajua or hajui, anapractice udikteta mamboleo (neo dictatorship), hawa hawana shida sana, sababu huwa na uzalendo usiotiliwa shaka na huhangaika kuleta maendeleo nchini mwake, lakini hawapendi kuhojiwa hojiwa kwa namna yeyote ile. To hell with that, nobody's perfect.
VivaMagufuli
 
Ni kweli, Magufuli either anajua or hajui, anapractice udikteta mamboleo (neo dictatorship), hawa hawana shida sana, sababu huwa na uzalendo usiotiliwa shaka na huhangaika kuleta maendeleo nchini mwake, lakini hawapendi kuhojiwa hojiwa kwa namna yeyote ile. To hell with that, nobody's perfect.
VivaMagufuli

Aisei nimecheka sana, umeiweka vizuri. Kwa kweli uzalendo wa Magufuli sio wa kutiliwa shaka, pia nia yake njema kwa ajili ya kuwasaidia maskini ipo wazi. Tatizo lipo pale hajazoea kuhojiwa au kukosolewa. Ni kama baba zetu wale wa zamani, alikua haulizwi maswali na siku zote ilikua yeye ndiye aseme, lakini mwisho wa siku alikua anatulinda sana.

Sasa kwa dunia ya leo, inakua vigumu sana, lazima utahojiwa na kuulizwa ulizwa maswali. Labda Magu angeendelea kupiga kazi bila kuskliza hayo maswali na makelele.
 
Huu ni utani usio na kipimo, nchi ambayo inaongoza Afrika nzima kwa rushwa za uchaguzi leo ndio inayoitwa ya demokrasia, narudia tena ....Nchi ambayo inaongoza Afrika nzima kwa rushwa za uchaguzi leo ndio inayoitwa ya demokrasia.

Nchi ambayo wananchi wake wanakimbia nchi yao wengine wakifunga maduka kila wakati wa uchaguzi, leo ndio ndio inaonekana ya kidemokrasia? Tena wengi wanakuja Tanzania kujibana.

Nchi ambao haitoi usawa katika ngazi za uongozi leo ndio nchi ya kidemokrasia. Rais Magufuli au rais Kikwete wangezalia Kenya, wasinge pata bahati ya kuongoza nchi kama Kenya kwa kuwa wametoka katika familia zenye kipato cha chini.

Ni kichekesho kuona kuwa UN inathaminiwa pale tuu inapotoa taarifa zinazo pendezesha watu fulani, lakini inabezwa pale inapotumia vyombo vyake kama ICC au Baraza lake la usalama.
ICC imetaka kutoa haki kwa watu walio poteza maisha yao kwenye uchaguzi uliojaa vurugu lakini hao hao wamepigana kufa na kupona kuzima mashitaka. Jeshi la Kenya limekataa amri halali ya baraza la usalama la umoja wa matiafaifa kulinda wasio na hatia nchini Sudan ya Kusini , mpaka kamanda wa jeshi la Kenya akafukizwa kazi na katibu wa umoja wa mataifa. Leo UN ni nzuri.

728bda3afa0e4cb29e1add24f1a19b61.jpg
 
Hua mambo yanaanza taratibu...baada ya muda mnajikuta mko kwenye hali kama ya Zimbabwe
 
Hii video imenifurahisha sana aisee.....ingekuwa bongo huyo mama angekuwa maiti saivi
huyo mama balaa kabisa, binafsi siwezi thubutu kukaa na mama aina huyu ndani ya nyumba moja, litakuwa vita vya kila dakika
 
Back
Top Bottom