Kenya now wants SADC to drop bid for AU chair

Kenya now wants SADC to drop bid for AU chair

Hivi kwanza ni kujiuliza swali ni nchi gani Afrika ambayo Kenya iliisaidia kupata uhuru ?? baada ya hapo ndo ujue mnafiki ni mnafki tu.
 
Wanadai South Sudan ambayo juzi imegoma Kenya kupeleka majeshi ya amani. Mimi binafsi naamini Museveni ndo kasaidia South Sudan kupata uhuri na si Kenya!
 
BUHABU

Mzee JONGWE anawaita wezi. Ana machungu nao, sijui walimuibia nini!!!!?
Halafu nyang'au hawajui ya kuwa RSA haina ushawishi wowote SADC kwa sasa, bora wangeitumia TZ. Vinginevyo watagonga mwamba.
 
Geza Ulole
Duuu ndo maana wanasema nyang'au hana aibu. Yaani matusi yote ambayo wanaitukana Tanzania na SADC halafu leo wanataka kuitumia kama daraja. SADC ni undugu wa damu siyo wa mashaka kama EAC.

Hayo mambo ya undugu tupa kuleeee, mahusiano baina ya nchi ni maslahi hamna cha upuzi wa undugu. Na ndio maana mnatafunwa sana na Wasouth kwenye migodi yenu, maana nyie bado mumepumbazwa na mambo ya ujamaa na undugu wakati wenzenu wako kimaslahi. Wakawapumbaza zaidi kwa kuwaazima nyie wimbo wao wa taifa.

Bado mnajidanganya eti mliwakomboa, juzi wakati wanapiga na kuua makwerekwere kule Afrika Kusini, hawakutaka kujua nani kakomboa nani, ilikua mwendo wa kichapo kwa yeyote asiyejua kuongea lugha zao kwa ufasaha.

SADC tumewekeza kibiashara na hatufuati cha undugu wala nini, ni maslahi, mahesabu, mazungumzo ya kibiashara, mnanuniana kwenye meza ya mazungumzo, hakuna kuremba wala kubembelezana. Unaweka maslahi yako wazi na mimi naweka yangu wazi halafu hapo tugongane hadi kieleweke, ukiwa mbumbumbu unaliwa na kutafunwa tena mchana peupe.

Ulimwengu wa kisasa upo kwenye nipe nikupe...basi, mengine hayo ya kukenua meno hayapo. Hata hiyo Bongo nenda mjini ujifunze kitu, hamna cha nini wala mzawa, kama huna hela unaambiwa rudi kijijini. Kwanza RC wenu Paul Makonda keshasema hilo.
 
Halafu ukitaka kujua Kenya hawajitambui ni kuwa hata classified information wenyewe wanaziweka public.
Ndiyo maana ni rahisi kuishambulia Ke kwa kumtumia mkenya.
 
W
If there was a closed door meeting that the two presidents never made public. Y the Fck are you (the diplomat and the media house) telling us????? these things are sensitive issue that need to be handled dlicately where is the patriotism (or is it nationalism) from the unamed diplomat and the media house that reported this?

Now the botswana ambassador will call his minister and tell him/her what was allegedly talked about btn Zuma and Kenyatta then by the time Zuma is trying to consult with SADC, everymember wont even what to hear it since they would have already discussed it..... all from the words in this article

What exactly are you ballistic about?! Thats spin in media and diplomatic terms, setting the agenda and following it up boyo! Amina Mohamed is good for EAC, SADC has had its chance!
 
Anaw
BUHABU

Mzee JONGWE anawaita wezi. Ana machungu nao, sijui walimuibia nini!!!!?
Halafu nyang'au hawajui ya kuwa RSA haina ushawishi wowote SADC kwa sasa, bora wangeitumia TZ. Vinginevyo watagonga mwamba.
Anawachukia balaaa. Na hata siku moja South Africa hajawahi kuwa na ushawishi wowote kwanza ndo nchi ngeni SADC
 
MK254
Ahaaa haaaa teh teh teh
Unatuletea story za Nairobery hapa. Unaelewa maana ya international diplomacy???
Kwa nini Russia is not a trade partner wa USA??
What I'm telling you is.. .. wait for the time to give you a lesson.
 
Hivi kwanza ni kujiuliza swali ni nchi gani Afrika ambayo Kenya iliisaidia kupata uhuru ?? baada ya hapo ndo ujue mnafiki ni mnafki tu.
kwani ni nchi gani pia alitusaidi kupata uhuru...tulifaitia wenyewe na husikii tukilialia kuwa hatukusaidiwa.nyi vipi
 
Kwan kuna profit nchi hupata endapo mwananchi wake atajishindia hiyo nafasi?
Nyerere alikataa hizi mambo za kukimbilia uongozi as if kuna faida zinavunwa kwenye hizo nyadhifa...
 
MK254
Ahaaa haaaa teh teh teh
Unatuletea story za Nairobery hapa. Unaelewa maana ya international diplomacy???
Kwa nini Russia is not a trade partner wa USA??
What I'm telling you is.. .. wait for the time to give you a lesson.

Hayo mambo ya diplomacy huwa ni media paka mafuta, wazee kuvaa masuti na kukenua kenua meno, lakini behind closed door ndio ngoma hupigwa.
 
Sisi SADC hatuwezi kuunga mkono kenya. Tafuteni kuungwa mkono na Somalia.

Kenya international diplomacy ni zero.
Kwikwikwi. Eti mnaamrisha, wacha nicheke mimi. Mgambo wa kisomali wanawahangaisha mnataka kujipima ubavu na SADC?

Kenya mara zote ni washiriki tu. Hatuwezi hata siku moja kushirikiana na wezi.
 
Too frankly Kikwete aliziweza hizi diplomatic wrangles nina hofu kama Magufuri anaweza ku - match ile robbing ya Jakaya
 
MK254, hamna kampuni ya South Africa yenye mgodi Tanzania. Migodi yote ni ya M-canada, M-Australia na M-Uingereza ukiacha inayomilikiwa na wazawa.
 
saadeque, majuzi mlidai Ethiopia waliwasaidia waziri mkuu wa Ethiopia alipokuwa Kenya! Karudi akawatosa pipeline deal mmenywea kwa kunyata! Bwahaha mad dog of Africa. Zuma kawatosa live visa na AU support yet kauza armoury vehicles.
 
FB_20161014_16_50_35_Saved_Picture.jpg
 
Yaani Kenya huwa tunatafuna mifupa hadi iliyomshinda fisi, leo hii tunaamrisha hata SADC, don't I love this country. Na mtatukoma maana sisi huwa hatubishi hodi, tunaingia kwa mabuti na kula chochote humo ndani, hii Afrika is our playground, hata kule West Africa wanahisi mziki wetu, EAC tushaimaliza hatuna muda wa kuhnagika nayo.
the most dump comment of the day ...
 
Nakumbuka alipoingia Magufuli madarakani, manyang'au in here walikuwa excited na speed yake baada ya kuondoa trade barriers.

Manyang'au walijua Bolongoja gate itafunguliwa, EA Joint tourism visa na pia joint marketing. Sasa naona mnaanza kupata fahamu baada ya kuula wa chuya. Baada ya kuwanyang'anya pipeline na railway deal. Poleni sana aisee..
 
Back
Top Bottom