Tatizo wanakariri hakuna bidhaa yoyote inayozalishwa Kenya Tanzania haipo.Wale wanaosema tunaitegemea Kenya wakati wao ndio tegemezi kwetu sababu nikiangalia hawapo kwenye mataifa wanaotuuzia bidhaa kwa wingi.
Hili ni jukwaa la Kenya dunia alafu wapi watu wanashindana? Unajua mashindano weweHivi sisi tunashindana na Kenya au na Dunia??? I hate this crazy competition with Kenya
Andika vizuri kwanza hauelewekiHili ni jukwaa la Kenya dunia alafu wapi watu wanashindana? Unajua mashindano wewe
Hiyo ni taarifa sio mashindano mbona hujasema tunashindana na China?Andika vizuri kwanza haueleweki
Ok sawaHiyo ni taarifa sio mashindano mbona hujasema tunashindana na China?
Sijui kama tz itakuwa hata kwa top ten kwenye orodha ya nchi zinazofanya sana biashara na Kenya? Mjitathmini sana nyinyi ndo mnatutegemea. Simnajua vyetu ni viwanda si viwonder kama vya tz. Vipi mliacha kuoga na kufua nguo na sabuni za Kenya? Tumewang'arisha kwa miaka mingi sana.
I'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...I hate being the one to break your bubble but, well, here it comes
Don't be so unidirectional, look at the other side too. You're still dependent on Kenyan goods. Tanzania is Kenya's 4th largest export partner.
1) UK, $534mn, 13.06%
2)Uganda, $486mn, 11.8%
3)Netherlands, $373mn, 9,11%
4)Tanzania, $322mn, 7.87%
Kenya Major Trade Partners: Kenya Exports and Imports Statistics | Bridgat.com
Yenu hii hapa
Tanzania Major Trade Partners: Tanzania Exports and Imports Statistics | Bridgat.com
We sell to you $322mn worth of goods, you sell back $202mn. $120mn surplus to Kenya (more than half what you export back)
Unaota binafsi sijawahi kutumia sabuni kutoka kenya na sizijui zinafafanajeSijui kama tz itakuwa hata kwa top ten kwenye orodha ya nchi zinazofanya sana biashara na Kenya? Mjitathmini sana nyinyi ndo mnatutegemea. Simnajua vyetu ni viwanda si viwonder kama vya tz. Vipi mliacha kuoga na kufua nguo na sabuni za Kenya? Tumewang'arisha kwa miaka mingi sana.
Hehe hapo sawa mkuu!yaani kenya kwa biashara tunawapa sahani ya ugali kavu nanyi mnatupa sahani ya pilau, kuku na kadhalika...
Look who's talking.. The guy from the Railaland.. You can't even keep your house in order yet here you are calling us ignorant… ingetosha tu kusema hoja za mtoa mada hazina mashiko…I'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...
I sometimes wonder. Ikiwa we sell more to Zambia, Rwanda and DRC than they do, yet hao ndio wana border nao, how will they expect to outsell us on a direct trade between Kenya and TanzaniaI'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...
sasa raila anatokea wapi kwa huu mjadala???😀😀😀😀😀😀refer to the thread title again...nadhani umepotea...ila pole kama umeumia ila JF mambo huenda hivyo...huyo mleta mada huwa ana matusi sana kwa wakenya...i had to reciprocate this time...especially since he is the one on the wrong side...huwa wanasema ukipata nafasi ya kuua nyoka, usipoteze hata sekunde..kisha nikimalizia, ndio kenya kwa sasa kuna taharuki ya kisiasa ila hilo halibadilishi mambo yalivyo, tumewazidi kliuchumi...hata tuwe tunatoka Railaland, bado Knya ndio inaongoza ukanda huu...Look who's talking.. The guy from the Railaland.. You can't even keep your house in order yet here you are calling us ignorant… ingetosha tu kusema hoja za mtoa mada hazina mashiko…
kenya ni nchi ya ubepari...wale jamaa ni watu wa ujamaa....yaani mtu akishakula ashibe ametosheka...wakenya wanataka kutajirika mtu apanuke kibiashara na kifedha...capitalism at its bestI sometimes wonder. Ikiwa we sell more to Zambia, Rwanda and DRC than they do, yet hao ndio wana border nao, how will they expect to outsell us on a direct trade between Kenya and Tanzania