Kenya number tano kwa kuuziwa bidhaa na Tanzania

Kenya number tano kwa kuuziwa bidhaa na Tanzania

Wale wanaosema tunaitegemea Kenya wakati wao ndio tegemezi kwetu sababu nikiangalia hawapo kwenye mataifa wanaotuuzia bidhaa kwa wingi.
 
Wale wanaosema tunaitegemea Kenya wakati wao ndio tegemezi kwetu sababu nikiangalia hawapo kwenye mataifa wanaotuuzia bidhaa kwa wingi.
Tatizo wanakariri hakuna bidhaa yoyote inayozalishwa Kenya Tanzania haipo.

Lakini zipo bidhaa lukuki Tanzania ambazo Kenya hawana, kwenye Tanzania hii ya viwanda Kenya wanaenda kuwa wateja wetu wa kudumu.
 
Sijui kama tz itakuwa hata kwa top ten kwenye orodha ya nchi zinazofanya sana biashara na Kenya? Mjitathmini sana nyinyi ndo mnatutegemea. Simnajua vyetu ni viwanda si viwonder kama vya tz. Vipi mliacha kuoga na kufua nguo na sabuni za Kenya? Tumewang'arisha kwa miaka mingi sana.
 
I hate being the one to break your bubble but, well, here it comes

Don't be so unidirectional, look at the other side too. You're still dependent on Kenyan goods. Tanzania is Kenya's 4th largest export partner.

1) UK, $534mn, 13.06%
2)Uganda, $486mn, 11.8%
3)Netherlands, $373mn, 9,11%
4)Tanzania, $322mn, 7.87%
Kenya Major Trade Partners: Kenya Exports and Imports Statistics | Bridgat.com

Yenu hii hapa
Tanzania Major Trade Partners: Tanzania Exports and Imports Statistics | Bridgat.com

We sell to you $322mn worth of goods, you sell back $202mn. $120mn surplus to Kenya (more than half what you export back)
 
unasherehekea nini ww pimbi wa Manzese?😀😀😀😀 Trade between Kenya and tz favors Kenya...mtu hazingatii nambari...eti kenya ni nambari tano...lol!!..mtu anazingatia value of exports VS value of imports...huwa mnafunzwa nini shuleni nyie mabongolala??

Kenya’s total exports to Tanzania in 2011 were valued at Kshs. 41.05 billion as compared to Kshs. 33.21 billion in 2010. The major exports to Tanzania in 2011 included Kshs. 3.07 billion worth of Palm oil and its fractions, Kshs 2.27 billion of Soap; Kshs. 1.82 billion of Medicament mixtures; Kshs 1.81 billion Animal or vegetable fats; Kshs 1.74 billion Flat rolled products of iron; Kshs. 1.37 Sugar confectionery; Kshs 1.35 billion Aluminium table and household articles; Kshs. 1.07 billion of Margarine.

Kenya’s imports from Tanzania were valued at Kshs. 15.58 billion in 2011 an increase from Kshs 10.55 billion in 2010. Major import products from Tanzania that dominated in 2011 included Furnishing articles, Paper and paperboard, Maize, Electric transformers, Textiles, Rice, Animal products, Tubes and pipes Flour and meals of oil seeds & Vegetables among others.

Uganda remains a key market for Kenya's exports, according to Kenya's Economic Survey (2016). Kenya's total exports to Uganda over the 2011-2015 period stood at $3.28 billion, followed by Tanzania ($1.98 billion), Rwanda ($734.93 million) and Burundi ($303.83 million).
Similarly Kenya imported the most goods from Uganda at Ksh81.57 billion ($815 million) in the same period, followed by Tanzania ($748.64 million) and Rwanda ($36.45 million).
 
Sijui kama tz itakuwa hata kwa top ten kwenye orodha ya nchi zinazofanya sana biashara na Kenya? Mjitathmini sana nyinyi ndo mnatutegemea. Simnajua vyetu ni viwanda si viwonder kama vya tz. Vipi mliacha kuoga na kufua nguo na sabuni za Kenya? Tumewang'arisha kwa miaka mingi sana.

Usikariri kila kitu, kama bidhaa za Kenya zipo hapa Tanzania basi juwa fika ziko vijijini near the border ya TZ na Kenya ila si Tanzania yote. Sijawahi kuona bidhaa yoyote ya Kenya hapa DSM wala baadhi ya mikoa ya TZ.
 
I hate being the one to break your bubble but, well, here it comes

Don't be so unidirectional, look at the other side too. You're still dependent on Kenyan goods. Tanzania is Kenya's 4th largest export partner.

1) UK, $534mn, 13.06%
2)Uganda, $486mn, 11.8%
3)Netherlands, $373mn, 9,11%
4)Tanzania, $322mn, 7.87%
Kenya Major Trade Partners: Kenya Exports and Imports Statistics | Bridgat.com

Yenu hii hapa
Tanzania Major Trade Partners: Tanzania Exports and Imports Statistics | Bridgat.com

We sell to you $322mn worth of goods, you sell back $202mn. $120mn surplus to Kenya (more than half what you export back)
I'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...
 
yaani kenya kwa biashara tunawapa sahani ya ugali kavu nanyi mnatupa sahani ya pilau, kuku na kadhalika...
 
U
Sijui kama tz itakuwa hata kwa top ten kwenye orodha ya nchi zinazofanya sana biashara na Kenya? Mjitathmini sana nyinyi ndo mnatutegemea. Simnajua vyetu ni viwanda si viwonder kama vya tz. Vipi mliacha kuoga na kufua nguo na sabuni za Kenya? Tumewang'arisha kwa miaka mingi sana.
Unaota binafsi sijawahi kutumia sabuni kutoka kenya na sizijui zinafafanaje
 
I'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...
Look who's talking.. The guy from the Railaland.. You can't even keep your house in order yet here you are calling us ignorant… ingetosha tu kusema hoja za mtoa mada hazina mashiko…
 
I'm telling you these Tanzanians ar very ignorant...mtu ashaanza kusherehekea eti kenya nambari tano...lol! kabla they look at the value of exports against the value of imports...
I sometimes wonder. Ikiwa we sell more to Zambia, Rwanda and DRC than they do, yet hao ndio wana border nao, how will they expect to outsell us on a direct trade between Kenya and Tanzania
 
Look who's talking.. The guy from the Railaland.. You can't even keep your house in order yet here you are calling us ignorant… ingetosha tu kusema hoja za mtoa mada hazina mashiko…
sasa raila anatokea wapi kwa huu mjadala???😀😀😀😀😀😀refer to the thread title again...nadhani umepotea...ila pole kama umeumia ila JF mambo huenda hivyo...huyo mleta mada huwa ana matusi sana kwa wakenya...i had to reciprocate this time...especially since he is the one on the wrong side...huwa wanasema ukipata nafasi ya kuua nyoka, usipoteze hata sekunde..kisha nikimalizia, ndio kenya kwa sasa kuna taharuki ya kisiasa ila hilo halibadilishi mambo yalivyo, tumewazidi kliuchumi...hata tuwe tunatoka Railaland, bado Knya ndio inaongoza ukanda huu...
 
I sometimes wonder. Ikiwa we sell more to Zambia, Rwanda and DRC than they do, yet hao ndio wana border nao, how will they expect to outsell us on a direct trade between Kenya and Tanzania
kenya ni nchi ya ubepari...wale jamaa ni watu wa ujamaa....yaani mtu akishakula ashibe ametosheka...wakenya wanataka kutajirika mtu apanuke kibiashara na kifedha...capitalism at its best
 
Back
Top Bottom