Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais William Ruto yashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais William Ruto yashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

To my little knowledge the MAFIA jubilee goverment is trying to diverge the kenyans concerning the NASA report on the use of millitary personels during elections...wanajiteka wenyewe ili kuwapumbaza wananchi kusahau malalamishi ya NASA.

Hakika UHURUTO msiwajaribu wakenya this tym round....u cant preach for reconciliation wen you are isolating kenyans basing on their regions and tribe..

MIPANGO YA MOUNT KENYA MAFIA CARTEL TUNAIJUA JINSI MNAUA WAKENYA INNOCENT NA HUYO ASKARI ALIPIGWA RISASI HUKO SUGOI ALIPWE MAANA those are your ill plans to win the already loosing elections
 
Na watauwana sana tu Mkuu. Taarifa za chini kabisa kutoka kwa ' wafuatiliaji ' wa Siasa waliopo huko nchini Kenya wanasema kwamba kuna uwezekano Raila Odinga na mwenzake Kalonzo Musyoka safari hii wakaibuka washindi kutokana na kwamba sasa wamejipanga kwa hila / hujuma / ngendembwe zote na kuna mahala nasikia wameshamshika pabaya Kenyata na Ruto hivyo kupelekea wao kuwa na hali mbaya.

Kuanzia sasa na hadi siku moja kabla ya upigwaji Kura hizo tutegemee makubwa kwani kama akina Uhuru na William walisababisha yale ' mauaji ' makubwa yaliyopelekea kuwa na post election violence nina uhakika hata safari hii tena baada ya kuona wanaelekea kushindwa basi ndiyo wakasababisha ' mauaji ' makubwa mno.
mauaji ya kenya yalisababishwa na raila odinga na mwai kibaki mkuu....
 
Yawezekana amejishambulia mwenyewe ili kutafuta kiki kwa pikipiki. Ukiangalia mandhari ya eneo husika na kihadithi cha mlinzi wa nyumba kupokonywa bunduki na mtu aliyejifanya machinga utajua ni fiksi za kutafuta umaarufu.
 
Ombeni Amani itawale kabla na baada ya uchaguzi.....

Kaeni mkijua kuna Maisha baada ya uchaguzi....

Viongozi wa vyama vya siasa ni vizuri kuhubiri Amani wakati wote wa kampeni zenu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom