Kenya on high alert after suspected Ebola case in Kericho. After Examinations she was tested negative

Sijaona sehemu yoyote ambayo waziri kasema "nchi iko hatarini". Unachoongea ni ndoto tu.

Hapa kulinda nchi kwenye suala zima la mambo ya utalii lazima waseme ni celbral malaria

Si nilisema jaman wawili hao wanasema nao walipanda gari alokua amepanda yule wa kwanza asee wakusanywe wote walopanda hilo gar jaman daaa wakenya muwe mnasikia mkiambiwa chaa
Waziri wa Afya amesema hakuna Ebola Kenya. Amesema kwamba huyo mgonjwa hana symptoms kamili za Ebola

Health CS Sicily Kariuki's statement on the suspected Ebola case

"The patient does not meet the case definition of Ebola however, precautionary measures have been put in place including isolation of the patient." pic.twitter.com/cQ2YY2pq2M
— NTV Kenya (@ntvkenya) June 17, 2019

Najua coz wanasubili sampo zirudi za damu.. Ila wale wote walokuepo kwa ile gari ya kutoka malaba watafuteeni muwapime serious

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…