eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Itakua kingereza kimekutesa kama ilivyo kawaida yenu, haya hii hapa chini tahadhari ya waziri wenu akisema nchi yote iko hatarini, ametumia maneno ya Kiswahili hivyo bila shaka utaelewa kabla ya kulaumu Kenya.
[B]Ummy Mwalimu, MP[/B] @[B]umwalimu[/B]
FollowFollow @umwalimu
More
Ninatoa Tahadhari kwa Umma kuhusu uwepo wa tishio la Mlipuko wa Ebola nchini kwetu kufuatia kuwepo kwa ugonjwa huu Uganda. Hii ni kutokana na mwingiliano mkubwa wa watu baina ya nchi hizi kupitia mipaka rasmi na isiyo rasmi. Mikoa ya Kagera, Mwanza na Kigoma ipo ktk hatari zaidi.
![]()
Sijaona sehemu yoyote ambayo waziri kasema "nchi iko hatarini". Unachoongea ni ndoto tu.