Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepata baraza la ukweli baada ya kufanya reforms za katiba na sie tuweke kwenye katiba yetu mawaziri wasitokane na ubunge iwe mwanataaluma na mtu yeyote sio lazima awe mbunge au politician na rais akimteua jina liende bungeni kupigiwa kura kama PM vile hapa tutachuja vilaza,mchumi kama lipumba tunamnyima wizara ya fedha na uchumi kisa mpinzani! Tuweke siasa pembeni tz ina wasomi wanaoheshimika kimataifa na vichwa kuliko hata hao wakenya sema siasa inawaweka kando mtu kama tido mhando si anafaa wizara ya habari,prof shivji si anafaa katiba na sheria